Demokrasia ya chama kimoja ni bora kuliko ya vyama vingi

Nchi ichukuliwe na jeshi tu..!!
 
Huko tumeshatoka. Hawa wa chama kinachoiba kura wameshapanda mbegu mbaya. Labda vyama vyote vifutwe kianzishwe chama kimoja ndio tuanzie hapo.
Au JESHI lichukue Nchi, tuachane na mauchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…