ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 757
Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.
Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.
Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.
Hili kwa Bongo nadhani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.
Ingekuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Polisi Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitambo