Demokrasia ya Kenya: Ruto aagiza Polisi watoe Ulinzi kwa Raila Odinga

Demokrasia ya Kenya: Ruto aagiza Polisi watoe Ulinzi kwa Raila Odinga

Challenge me with facts sio jaziba mimi najua Kenya kuliko unavo fikiri ntakutajia kila eneo, wasio jua ndo wanalinganisha kenya na TZ, labda kwa majengo ambayo ni ya wazungu na wahindi
Mwehu wewe, muongo, a blind patriot.., unadanganya wenzako ni wivu inakusukuma, najua watanzania sambuli yako.., nenda kadanganye makapuku wenzako pale vijiweni., jikubali pale mlipo..,
 
Umasikini wa Kenya ni wadamu, mkenye hata akipata kazi nzuri atakosa aridhi pakujenga nyumba, lisha ya kuishi Kenya miaka mingi sijawahi kuitamani iwe nchi yangu.
Mimi ni mkenya, umedanganya., bladfwakin kabisa.., I know hii lafudhi ni ya nani, a zezeta 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Huu utafiti ulifanya wapi ndugu? Ni wapi ulisoma kwamba asilimia mbili tu ya wakenya wana maisha mazuri?
Huyo ni mwehu, anasukumwa na wivu na blind patriotrism, hajui lolote, yeye bora TZ ionekane iko juu ya Kenya ajisikie vizuri, hana uelewa wowote ni zezeta la vijiweni.,
 
Umasikini wa Kenya ni wadamu, mkenye hata akipata kazi nzuri atakosa aridhi pakujenga nyumba, lisha ya kuishi Kenya miaka mingi sijawahi kuitamani iwe nchi yangu.
Ukweli mchungu kaka.., jikubali mlivyo, mifukara wa kutupwa EAC na SADC.., 😂😂😂😂😂😂
2773522_photogrid_1605162481588-jpg.2447556
 
Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.

Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.

Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.

Hili kwa Bongo nadhani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.

Ingekuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Polisi Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitamboView attachment 2435728
Nasema mara nyingi. Kenya wametuzidi mbali sana kwa kila nyanja. Tukubali tukubali tukatae lakini huo ndio ukweli.
 
Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.

Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.

Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.

Hili kwa Bongo nadhani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.

Ingekuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Polisi Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitamboView attachment 2435728
Ujinga
 
Huijui Kenya halafu hiyo tweet ya mtoa mada hujaisoma mpaka mwisho. Kuna maneno haya

"They can demonstrate everyday once a week, every month and for how many years. You will nott blackmail this nation, and you will not threaten the people of Kenya"

Haya maneno yana harufu yote ya UDIKTETA Uchwara
Hayo maneno hayana udikteta wowote. Infact ni dongo. Kama hawana kazi za kufanya wanaweza kuandamana daily bila bugudha na waache mikwara ya kutishia maandamano (blackmailing..)
 
Back
Top Bottom