Hata mm nimeelewa kama wewe. Hapa Ruto ni kama anamtisha Raila kwa kumpa uangalizi (siyo ulinzi) mzuri wa kipe anachotaka kujifanya . Ndiyo maana kamalizia maelezo yake kwa kupiga mkwara.Kaagiza atoe ulinzi au kaagiza afanyiwe surveillance?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm nimeelewa kama wewe. Hapa Ruto ni kama anamtisha Raila kwa kumpa uangalizi (siyo ulinzi) mzuri wa kipe anachotaka kujifanya . Ndiyo maana kamalizia maelezo yake kwa kupiga mkwara.Kaagiza atoe ulinzi au kaagiza afanyiwe surveillance?...
Naona wewe wajua Kenya vizuri Kenya inaongoza kwenye dirty politics hapa Africa, wasio ujua kenya ndo wana wasifiaNadhan hujaona sarcasm iliyoko kwenye Hilo agizo la Ruto... Kwani waziri wa ulinzi hajui majukumu yake mpaka Ruto ampatie maagizo kupitia kwenye majukwaa ya siasa akimulikwa na Camera na vipaza sauti?!....FYI ,Hakuna siasa chafu Africa hii kama ya Kenya.
Chagua wewe na familia yako.Hilo ni dogo sana ni kama camouflage politics za Kenya zina mapungufu mengi kuliko za Tanzania..........mtu bora aishi Tz na CCM yetu kuliko Kenya yenye vyama vya ukabila na vyeo vya ukabila
Umeandika pumba tupu tu hujui lolote kuhusu Kenya.Amani na utulivu na pia hatuna njaa hivyo ndo tunawazidi wa Kenya
Challenge me with facts sio jaziba mimi najua Kenya kuliko unavo fikiri ntakutajia kila eneo, wasio jua ndo wanalinganisha kenya na TZ, labda kwa majengo ambayo ni ya wazungu na wahindiUmeandika pumba tupu tu hujui lolote kuhusu Kenya.
Amani na utulivu na pia hatuna njaa hivyo ndo tunawazidi wa Kenya
Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.
Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.
Saaa cha ajabu Williamu Ruto amegai waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Keshi la Police linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapeww ulinzi.
Hili kwa Bongo nazani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.
Ingejuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Police Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitamboView attachment 2435728
Mwambie huyo kibwengo.Hilo ni dogo sana ni kama camouflage politics za Kenya zina mapungufu mengi kuliko za Tanzania..........mtu bora aishi Tz na CCM yetu kuliko Kenya yenye vyama vya ukabila na vyeo vya ukabila
Tumeona wakiuana au wakiuliwa na CCM, wakibambikiwa kesi, viongozi wanaojenga viwanja vya ndege vijiji walivyotoka kama dikteta Mobutu.Kenya wana uana kwasbb za ki kabila wana baguwans ufisadi na wizi wa Kenya ni mara mbili na watanzania, CCM na rahisi mtu kupanda cheo bila kuangalia kabila lake au dini yake,......
Na wewe unafikiri ni Kenya mzima iko na umasikini???huko kibra ni masikini wangapi wa tanzania wako huko??? Ukabila ndiyo imefanya kenya ikuwe na democracy. Kitu ingine, kila mraiya lazima asema "I'm proud to be whom I am"Wewe hujui Kenya unaisikia tu gazetini na media hujawahi ku ishi Kenya haituzidi lolote labda njaa ukabila ufisadi na umasikini wa raia wa kawaida,
Umasikini wa Kenya ni wadamu, mkenye hata akipata kazi nzuri atakosa aridhi pakujenga nyumba, lisha ya kuishi Kenya miaka mingi sijawahi kuitamani iwe nchi yangu.Na wewe unafikiri ni Kenya mzima iko na umasikini???huko kibra ni masikini wangapi wa tanzania wako huko??? Ukabila ndiyo imefanya kenya ikuwe na democracy. Kitu ingine, kila mraiya lazima asema "I'm proud to be whom I am"
Tumia pesa zikuzoee
Mikutano ya kisiasa haijapigwa marufuku huko ili wanyooshe nchi kwanza.Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.
Tumewazidi uchawaSisi ambao hatuna ukabila tunawazidi nini hao wenye ukabila?
Huu utafiti ulifanya wapi ndugu? Ni wapi ulisoma kwamba asilimia mbili tu ya wakenya wana maisha mazuri?Kama umeishi kenya nadhani umeishi kaunti za mjini tu, Kenya unao sema ina high income inequality ni 2% ya wakenya ndo wenye maisha mazuri nyumba na mshahara mzuri 70% ya Wakenya ni landless living in urban poverty hawana wakika wa milo 3 kwa siku. Jingine 50% ni underemployed wanafanya odd jobs kama ulinzi toilet cleaners Hotel attendants nk 50% ya aridhi ya kenya ni arid land sio nzuri kwa kilimo.
Tanzania ni maziwa tu, hata raia wa kawaida anajajiri na anajenga mjini watu wana aridhi mitaji nk.
hakuna cha level yo yote hapo. huko ulaya na marekani huwezi ukakuta king'ang'anizi wa siasa kama raila. Ruto inabidi aamuru polisi wamlinde kwa sababu hata akijikwaa, wafuasi wake wapuuzi watamlaumu ruto na siajabu watasema ndiye alitega jiwe ili raila ajikwaeKuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.
Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.
Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.
Hili kwa Bongo nadhani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.
Ingekuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Polisi Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitamboView attachment 2435728
Kwetu pazuri nitapakumbuka. Pengine ulikuwa unaishi kenya pale kwa boderUmasikini wa Kenya ni wadamu, mkenye hata akipata kazi nzuri atakosa aridhi pakujenga nyumba, lisha ya kuishi Kenya miaka mingi sijawahi kuitamani iwe nchi yangu.
Ulaya na Tandale[emoji1787]Ni dhahiri CCM toka Uhuru hawajafanya Jambo lolote Kwa nini wanaogopa mikutano!lakini mtoa mada kulinganisha Kenya na Tanzania ni kulinganishi ulaya na tandale
Hivi ni vijembe, dharau na kiburi kutoka kwa Rais kwenda BabaKuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America.
Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega.
Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuhakikisha Jeshi la Polisi linatoa ulinzi wa kutosha kwa huo mkutano hata wakitaka kuandamana pia wapewe ulinzi.
Hili kwa Bongo nadhani kwa kizazi chetu tutakufa bila kulishuhudia labda wajukuu zetu ndio wanaweza kuja kushuhudia hii.
Ingekuwa ni Bongo tungeisha anza kuoma mazoezi ya Polisi Barabarani ili kutisha watu na by the way Uoga wetu ndio ni nguzo muhimu ya CCM kuendelea kutawala, Bila Watanzania kuwa waoga CCM ingeisha sahaulika kitamboView attachment 2435728