Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

Hawa wanasiasa wanao uwawa na wanao tishiwa maisha yao kisa siasa ndio democrasia ye kweli na tukio na ishara ya democrasia ya kweli? nani anyeongoza kuvuruga uchaguzi. Hivi una taarifa matokeo ya uchaguzi hayajawekwa kwenye halmashauri na vituo vyote nchi nzima. hiyo ni command ya nani na ni democrasia ya kweli.
 
Ila anaweza kupanga mauaji, utekaji, utesaji, kuiba kura hata kuwaweka ndani watu wasio na hatia na kuwadai wamlipe wanunue uhuru wao.
 
Maandamano ni ishara ya uhuru siyo demokrasia. Kwenye nchi huru kila mtu ana haki ya kuandamana bila ya kibali. Unapovunja sheria wakati wa maandamano ndiyo nguvu ya dola inaingilia kati lakini siyo kabla.
 
Kwa hiyo Marekani wako vibaya kwa kuandaa kumfukuza urais kabla ya muda wake kuisha! Unafurahia hapa rais kutoshitakiwa! Akili zako hazina akili.
 
Pumba za kuwapa kuku usilete humuu
 
Wananchi wenyewe ndio hawa wanaompuuza Tundu Lisu na wanamsikiliza Trump kwa swala lile lile!
Tundu Lissu hapo ni upande wa Biden ambaye ni mgombea kutoka upinzani na Trump ni sawa na magu ambao wana mamlaka kamili jeshi ,polisi,fedha na ulinzi wa kila namna.
 
Ni kweli kabisa ndugu mlamba viatu ndo maana Rais wa Sasa ,aliratibu uibaji kura,kumwaga damu ,wizi na kila aina ya uchafu.
 
Hapa rais hataki tu kuitisha maandamano ya mataga akitaka hata leo,wewe johnthebaptist lzm utakuwa mstari wa mbele.au nasema uongo ndugu zangu.hata hivyo maandamano hayana chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…