Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hapa haujaweka kumbukumbu sahihi.Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Trump siyo wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Soma hapa 6 Presidents Who Couldn't Win a Second Term
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa haujaweka kumbukumbu sahihi.Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Hawa wanasiasa wanao uwawa na wanao tishiwa maisha yao kisa siasa ndio democrasia ye kweli na tukio na ishara ya democrasia ya kweli? nani anyeongoza kuvuruga uchaguzi. Hivi una taarifa matokeo ya uchaguzi hayajawekwa kwenye halmashauri na vituo vyote nchi nzima. hiyo ni command ya nani na ni democrasia ya kweli.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Ila anaweza kupanga mauaji, utekaji, utesaji, kuiba kura hata kuwaweka ndani watu wasio na hatia na kuwadai wamlipe wanunue uhuru wao.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Acha kubweka. Mimi sio nyumbu mwenzako!Marekani imefedheeka sana kuhusu uchaguzi wao
Tanzania kuko vizuri kuliko amerika
Tanzania Rais hutamka na inakuwa........Unataka kuaminisha umma kuwa rais wa Tanzania anapatikana kwa matamko? Acha uzushi.
Kwa hiyo Marekani wako vibaya kwa kuandaa kumfukuza urais kabla ya muda wake kuisha! Unafurahia hapa rais kutoshitakiwa! Akili zako hazina akili.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Pumba za kuwapa kuku usilete humuuKiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu hapo ni upande wa Biden ambaye ni mgombea kutoka upinzani na Trump ni sawa na magu ambao wana mamlaka kamili jeshi ,polisi,fedha na ulinzi wa kila namna.Wananchi wenyewe ndio hawa wanaompuuza Tundu Lisu na wanamsikiliza Trump kwa swala lile lile!