Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa demokrasia ipi iliyopo bongo,Mtu ameiba kura,ameua,amefunga,we umebanwa maci,nenda kakate gogo,jiwe amefanya mala mia ya hayo ya USA
Uzuri wa wenzetu waliostaarabika,wacha Trump,ajifarague,taasisi za nchi zinamcheki tu,NSA,FBI,CIA,Homeland security,state department,ikifika January 20!atakuwa ni mvamizi,hata secret service wanaomlinda,watampiga pingu,
Kwa usa,Trump hawezi kumfokea,au kumwamlisha Spika wa bunge,Nansi Pelose,huku kwetu,Ndugai alipewa amri,'wafukuze huko,waje waongee huku"Tundu Lisu akafukuzwa,akakutana na wasiojurikana wakampa risasi 18!lakini mwanaume,akapona.