Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

Serikali ina tuhuma nyingi sana dhidi yake yenyewe.

Lakinu kinakosekanika kitu kimoja nacho ni PROOF ya hayo matuhuma.

Tumbebeshe Rais tuhuma ambazo zina evidences zenye muelekeo wa kuaminisha na siyo mere accusations without facts
Mkuu
Chama cha umoja party!!
 
VYAMA vya UPINZANI TANZANIA ukikiacha Chama cha CHADEMA sio VYAMA vya UPINZANI kulijua hilo lazima uwe na AKILI KUBWA
 
Hivi Kuna watu bado mna fikra za kuona Tanzakiza Kuna demokrasia? Kama bado mna fikra hizo nachelea kusema tuna hitaji kupata ukombozi wa kifikra kwanza.
 
Waafrika [ watanzania ] kwa sasa tuna hitaji maendeleo hatuhitaji blah blah za majukwaani zisizo na msaada kwetu wowote ule Afrika ipo nyuma tena bado ipo nyuma sana bila kukaza mikanda hatuta fika popote pale kimaendeleo.
 
Kwa hiyo hayo maendeleo yataletwa hivi na hawa ?
 
Eti wanaweza kuanzisha chama cha wanywa bia🤓🤓
 
VYAMA vya UPINZANI TANZANIA ukikiacha Chama cha CHADEMA sio VYAMA vya UPINZANI kulijua hilo lazima uwe na AKILI KUBWA
ni lazima CCM iwe na vyama pandikizi ili ku justify Demokrasia.
 
Mkuu
Jambo unalolijua siyo kwamba wote wanalijua

Just share the info or clue tupate uhakika tuweze ku opt other solutions
Kuna Jamaa walitaka kuanzisha chama cha umoja party hapa Bongo kwamba kitaenzi legacy ya JPM,wakapeleka pendekezo kwa msajili Ndugu Mutungi,japokuwa walifuata taratibu zote wamenyimwa usajili hadi Sasa!!
 
Nikadhani Msajili ametoa statement kuwa kimenyimwa usajili.

Je haudhani kwamba kinacheleweshwa tu?
 
Mbatia kosa lake ni kukataa "MOU" na pia kukataa kumuita Samia "Mama" badala yake yeye anamuita"Dada" hapa Tanzania hakuna Demokradia bali "Tumbocrasia"
Kwenye hiyo Tumbocrasia na wapinzani nao wamo ?!!
 
Kuna Jamaa walitaka kuanzisha chama cha umoja party hapa Bongo kwamba kitaenzi legacy ya JPM,wakapeleka pendekezo kwa msajili Ndugu Mutungi,japokuwa walifuata taratibu zote wamenyimwa usajili hadi Sasa!!
Kwanini hawaendi mahakamani ili ifahamike mbivu na mbichi ?
 
Wanafiki ni watu wabaya sana, hawaaminiki kabisa
Huyo mtoa mada hufahamu vizuri, ni mtu aliyekuwa akishangilia mwendazake alivyokuwa aki terrorize wapinzani, sio mfuasi wa demokrasia huyo, ni mnafiki na lazima tumuambieni mnafiki
 
Nchi ya maigizo hii. Yaani mwenyekiti wa chama X anazuia vyama A, B, C, D, E, Z and F.kufanya mikutano lkn chama chake kinafanya.

Najua katiba ndiyo inampa nguvu nq jeuri hii huyu mwenyekiti wa cha X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…