jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Siasa za Kenya nazo ni kubusu makalio ya alie Ikulu.angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama
Watu wamezowea kusikia sikia kuna kitu inaitwa maagizo kutoka juu !! Hata mimi siielewi hii kitu kama ipo au haipo na hasa huwa ni maagizo gani. !! Ndio maana likitokea la kutokea kama kunyimwa usajili au kingine kama hicho basi watu wanaanza kuhisi kuwa Sauti kuu imeshaingia hapo !! Kazi Kweli Kweli !!Duh...!. Watanzania tunapenda sana kulalamika na karibu kila kitu tunamlalamikia rais!.
Usajili wa vyama ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, rais wa nchi hakusiki kwa namna yoyote na issues zozote za usajili wa vyama zaidi ya kuwateua watendaji.
Chama chochote kikikidhi vigezo, na kutimiza masharti, kinasajiliwa!, na chama chochote kitakacho nyimwa usajili, kinaelezwa kwa maandishi, Madam Presidaa has nothing to do with usajili wa vyama.
P
Ni kweli lakini hata Chadema wapo ndani yake watu ambao ni ndivyo sivyo !! Hali kadhalika na ndani ya Ccm ni vivyo hivyo !! Chama ni taasisi ya kuwaongoza watu ili wayafikie mafanikio sio mahali pa Kutafutia utajiri humo !! Ile falsafa ya kwamba Uongozi ni wito imeshapotea kitambo sana !VYAMA vya UPINZANI TANZANIA ukikiacha Chama cha CHADEMA sio VYAMA vya UPINZANI kulijua hilo lazima uwe na AKILI KUBWA
Duh...!. Watanzania tunapenda sana kulalamika na karibu kila kitu tunamlalamikia rais!.
Usajili wa vyama ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, rais wa nchi hakusiki kwa namna yoyote na issues zozote za usajili wa vyama zaidi ya kuwateua watendaji.
Chama chochote kikikidhi vigezo, na kutimiza masharti, kinasajiliwa!, na chama chochote kitakacho nyimwa usajili, kinaelezwa kwa maandishi, Madam Presidaa has nothing to do with usajili wa vyama.
P
Yule hakuwa spika bali jambazi. Ilikuwa halali kufurushwa.Usisahau Spika wa Bunge ambaye kosa lake siajabu lilikuwa ni kuhoji tu!
Jikaze mkanda mwenyewe. Shenzi!Waafrika [ watanzania ] kwa sasa tuna hitaji maendeleo hatuhitaji blah blah za majukwaani zisizo na msaada kwetu wowote ule Afrika ipo nyuma tena bado ipo nyuma sana bila kukaza mikanda hatuta fika popote pale kimaendeleo.
Yule hakuwa spika bali jambazi. Ilikuwa halali kufurushwa.
Mambo magumu tuEti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga?
Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama kikinyimwa usajili, lkn Tanzania kuanzisha Chama ni ishu, Rais aliyeko madarakani akiona hicho chama kinaweza kuwa tishio anakipinga kinanyimwa usajili.
Ulaya watu wanaanzisha mpaka vyama vya wanywa bia, kuna vyama vya wageni tu wahamiaji Ulaya kuna vyama vya Kanisa tu vyote poa tu.
Hapa Bongo Mbatia katimuliwa kwenye Chama chake na Polisi, kisa yuko mlengo tofauti na walamba asali na amekataa kulamba asali.
Hivi bado tunaitumia katiba! Nilidhani tuliiacha baada ya Magufuli kuingia madarakani, hebu weka kumbukumbu zako vizuri.Duh...!. Watanzania tunapenda sana kulalamika na karibu kila kitu tunamlalamikia rais!.
Usajili wa vyama ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, rais wa nchi hakusiki kwa namna yoyote na issues zozote za usajili wa vyama zaidi ya kuwateua watendaji.
Chama chochote kikikidhi vigezo, na kutimiza masharti, kinasajiliwa!, na chama chochote kitakacho nyimwa usajili, kinaelezwa kwa maandishi, Madam Presidaa has nothing to do with usajili wa vyama.
P
Ukikataa Hilo hatuna la kukusaidia.Serikali ina tuhuma nyingi sana dhidi yake yenyewe.
Lakinu kinakosekanika kitu kimoja nacho ni PROOF ya hayo matuhuma.
Tumbebeshe Rais tuhuma ambazo zina evidences zenye muelekeo wa kuaminisha na siyo mere accusations without facts
Demokrasia ipi unayozungumzia hapa? Unakumbuka marehemu Dr. Wilbert Kleruu (Mkuu wa Mkoa pekee hapa Tanzania kuondolewa duniani kwa mauaji - 1971)) aliandika kitabu kiitwacho Demokrasia ya Chama Kimoja?
Duh...!. Watanzania tunapenda sana kulalamika na karibu kila kitu tunamlalamikia rais!.
Usajili wa vyama ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, rais wa nchi hakusiki kwa namna yoyote na issues zozote za usajili wa vyama zaidi ya kuwateua watendaji.
Chama chochote kikikidhi vigezo, na kutimiza masharti, kinasajiliwa!, na chama chochote kitakacho nyimwa usajili, kinaelezwa kwa maandishi, Madam Presidaa has nothing to do with usajili wa vyama.
P
Sisi washauri wa bure, tulimshauri Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!Hivi bado tunaitumia katiba! Nilidhani tuliiacha baada ya Magufuli kuingia madarakani, hebu weka kumbukumbu zako vizuri.
Sawa japo mkubwa ni jalala, basi ndio kila kitu yeye?!Tunamlalamikia Rais kwasa
Tunamlalamikia Rais kwasababu ndio mtendaji mkuu.
Aliyetoa zuio la kufanya mikutano ni JPM, Samia hawezi kujiondolea tuu hata kama hakubaliani na msimamo wa JPM, ataonekana ana mpinga!.Kama Rais katoa zuio la kutofanya siasa lipi litamshinda kufanya.
Mkuu hapa uwe na adabu na adabu ikushike!, unaposema rais mwenye akili anamaanisha nini?.Halafu Rais mwenye akili akikuta mapungufu ya kisiasa anayaboresha na sio kufanya ujinga.
Mikutano imo ndani ya katiba ila sidhani kama Korona nayo ima ndani ya katiba, kwakuwa mikutano imo ndani ya katiba ni ukiukwaji wa katiba kwa rais kuiingilia, hata hivyo uingiliaji huo ni wa uoga kwani umewazuia wenye sauti ya juu na kujiachaa asiye na sauti(CCM) atumie dola ili asikike kwa lazima.Sawa japo mkubwa ni jalala, basi ndio kila kitu yeye?!
Aliyetoa zuio la kufanya mikutano ni JPM, Samia hawezi kujiondolea tuu hata kama hakubaliani na msimamo wa JPM, ataonekana ana mpinga!.
Kinachofanyika kuhusu zuio la mikutano ni kilichofanyika kwenye corona, iliundwa timu ya wataalam wakashauri. Sasa Mama kaunda kikosi kazi kitashauri!.
Mkuu hapa uwe na adabu na adabu ikushike, tumia lugha ya heshima!, unaposema rais mwenye akili anamaanisha nini?
P
WamoKwenye hiyo Tumbocrasia na wapinzani nao wamo ?!!