Demu aliyenyanyuka kushangilia faulo ya Taifa Stars akidhani penati

Mkuu utatufanya sisi ambao hatukuangalia mpira jana.....tutafute marudio ya mechi ya jana....kisha tukajipa kibarua cha kuangalia mwanzo mpaka mwisho.....ili tumuone huyo mlimbwende
 
Ngoja niangalie MARUDIO ya hiyo mechi kwa ajili ya huyo manzi!!
 
Weka picha
 
Kumbe hukufaidi,tuulize sie tuliemwona wakati anaimba wimbo wa taifa kabla mechi kuanza

Nakushauri irudie mechi toka mwanzo kabisa naamini ukimaliza tu utaisahau hata JF na kuanza safari ya Sauzi

Safari njema mkuu
 
I say ngoja nitafute hiyo video
 
kwa sisi ambao hatujaangalia je mechi ilichezwa South Africa au Lesotho ?
 
Bila Shaka..Mtoa Mada Atakuwa.Katokea kanda Ya Kusini Mwa Tanzania..Watu Wa Mbeya,Iringa Wanaweweseka Sana Na Wanawake Weupe.
 
Bila Shaka..Mtoa Mada Atakuwa.Katokea kanda Ya Kusini Mwa Tanzania..Watu Wa Mbeya,Iringa Wanaweweseka Sana Na Wanawake Weupe.
Upo sahihi kaka. Hata Reginald Mengi na yeye tunatoka NAE kanda moja
 
Huyo Binti Anaitwa Beatrice ni mzaliwa wa Tanzania baba ake akiwa raia wa SA na mama ake akiwa Mtanzania though amezaliwa Tanzania ila familia yake waliamua kuhamia SA kimakazi mwaka 2004 akiwa na miaka 12
 
Sasa ukali wake ni nini, kule kuvaa jezi ya Tanzania ama uchotara wake? Weka picha tumjadili.
 
Na azam tv walivyo na sifa wakahamishia camera kwa watoto wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…