Demu aliyenyanyuka kushangilia faulo ya Taifa Stars akidhani penati

Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
Mkuu utatufanya sisi ambao hatukuangalia mpira jana.....tutafute marudio ya mechi ya jana....kisha tukajipa kibarua cha kuangalia mwanzo mpaka mwisho.....ili tumuone huyo mlimbwende
 
Ngoja niangalie MARUDIO ya hiyo mechi kwa ajili ya huyo manzi!!
 
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..
Weka picha
 
Kumbe hukufaidi,tuulize sie tuliemwona wakati anaimba wimbo wa taifa kabla mechi kuanza

Nakushauri irudie mechi toka mwanzo kabisa naamini ukimaliza tu utaisahau hata JF na kuanza safari ya Sauzi

Safari njema mkuu
 
I say ngoja nitafute hiyo video
 
kwa sisi ambao hatujaangalia je mechi ilichezwa South Africa au Lesotho ?
 
Bila Shaka..Mtoa Mada Atakuwa.Katokea kanda Ya Kusini Mwa Tanzania..Watu Wa Mbeya,Iringa Wanaweweseka Sana Na Wanawake Weupe.
 
Upo sahihi kaka. Hata Reginald Mengi na yeye tunatoka NAE kanda moja
 
Huyo Binti Anaitwa Beatrice ni mzaliwa wa Tanzania baba ake akiwa raia wa SA na mama ake akiwa Mtanzania though amezaliwa Tanzania ila familia yake waliamua kuhamia SA kimakazi mwaka 2004 akiwa na miaka 12
 
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati.

Alikuwa amevaa jezi ya Tanzania. I say personally nilimuelewa sana Yule Dada na sikuwahi kuwaza kama Tz tuna watoto wakali kama Yule..

Walahi kama ningekuwa uwanjani Jana halafu nikajua uwepo wa mdada mrembo kama Yule ningekomaa nipige bao ili kumfurahisha mtoto mzuri kama Yule.

Kama kuna mdau anamjua Yule mdada plz let me know plz nimtafute .

Mtoto Mashaalaah.

Najua atakuwa anaishi Sauzi walahi ntachukua hata basi Dar Tunduma nivuke boda Nakonde nichukue basi to Lusaka then Lusaka Jo'burg ..

Sasa ukali wake ni nini, kule kuvaa jezi ya Tanzania ama uchotara wake? Weka picha tumjadili.
 
Na azam tv walivyo na sifa wakahamishia camera kwa watoto wazuri
 
Back
Top Bottom