Uchu uliopitiliza huo!Hata muda wa kutafuta CM angeupata wapi.....................................?
Sidhani mkuu kama ni jini!.....mapenzi noma mkuu.....
The great katutoka....
Jini hlo....!!
Sasa ndio zipuni mkuu?
Na mtoto mwenyewe mashallah kaumbika kama"dondola"
Hata muda wa kutafuta CM angeupata wapi.....................................?
Poa!kwanza umempenda kama si kumpenda umemtamani hamna haja ya kuomba ushauri mfanye utakavyo.
Angekuwa wa Kagera, je ungemshauri nini?Rejao duh balaa
jamaa mziki wake wa kukoroma hapo ni balaa midomo yote wazi
Mkuu kama unamuona kabisa ana pete ya ndoa na ni mfanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani na ni mtu wa musoma ogopa sana hiyo kitu aise
Sidhani mkuu kama ni jini!
Hivi jini linaweza zungumza kizanaki kweli?
Angekuwa wa Kagera, je ungemshauri nini?
Mbona mnanitisha sana wakuu!....lulu huyooo.....
Andika wosia kabisa......
Cheza na mauti wewee...!!
Nafanya bado mahesabu ya ukubwa wa siti...kama ni siti ya watu wawili maana yake hawezi kukulalia kichwa kikafika mapajani, labda akuegemee kifuani. Na kama ni siti ya watu watatu bado haniingii akilini...otherwise she is a dwarf
Ukubwa wa siti zetu ni huu
View attachment 51587
Au hapa...
View attachment 51588
Siti za magari yetu zingekuwa hivi ningekubaliana na wewe
View attachment 51589
Mbona mnanitisha sana wakuu!
Kengere ya hatari inagonga kichwani,ngoja niangalie namna ya kulivua gamba,iweje awe rahisi hivi kwangu?.....shukuru Mungu amekupa wazo la kutuma hii kitu tukushauri....
Huenda ulikua warudi mavumbini usiku huu....
U can take it or leave.....
Hujui kama kuna mfumuko wa bei?Kengere ya hatari inagonga kichwani,ngoja niangalie namna ya kulivua gamba,iweje awe rahisi hivi kwangu?
Wewe huogopi kichurachura mkuu!
kichurachura cha kiunoni!? Acha uwoga. Sagula mitumba wewe!
Sidhani mkuu kama ni jini!
Hivi jini linaweza zungumza kizanaki kweli?