Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Wewe utakuwa una yako! Mwanaume kamili akiwa katika situation hiyo hana haja ya kuuliza au kuomba ushauri kwa watu. Tumia akili ya kuzaliwa.
 
kwanza umempenda kama si kumpenda umemtamani hamna haja ya kuomba ushauri mfanye utakavyo.
Poa!
Ngoja leo tufike Mwanza,lazima nikambinue leo!
Labda awe jini.
 
Rejao duh balaa
jamaa mziki wake wa kukoroma hapo ni balaa midomo yote wazi
Mkuu kama unamuona kabisa ana pete ya ndoa na ni mfanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani na ni mtu wa musoma ogopa sana hiyo kitu aise
Angekuwa wa Kagera, je ungemshauri nini?
 
Nafanya bado mahesabu ya ukubwa wa siti...kama ni siti ya watu wawili maana yake hawezi kukulalia kichwa kikafika mapajani, labda akuegemee kifuani. Na kama ni siti ya watu watatu bado haniingii akilini...otherwise she is a dwarf

Ukubwa wa siti zetu ni huu
View attachment 51587
Au hapa...
View attachment 51588
Siti za magari yetu zingekuwa hivi ningekubaliana na wewe
View attachment 51589

Mkuu labda huyo dem ni mbilikimo.
 
.....shukuru Mungu amekupa wazo la kutuma hii kitu tukushauri....
Huenda ulikua warudi mavumbini usiku huu....
U can take it or leave.....
Kengere ya hatari inagonga kichwani,ngoja niangalie namna ya kulivua gamba,iweje awe rahisi hivi kwangu?
 
Kengere ya hatari inagonga kichwani,ngoja niangalie namna ya kulivua gamba,iweje awe rahisi hivi kwangu?
Hujui kama kuna mfumuko wa bei?
Lipstick bei juu!
Lotion bei juu!
Sijui ile nini makufuri bei juu!
Kwanini asiwe rahisi na ujeda wake?
Kula mzigo kaka,achana na wanaokukatisha tamaa na kukutisha,hao wote wanakuonea wivu.......
 
kichurachura cha kiunoni!? Acha uwoga. Sagula mitumba wewe!

Mwambie wewe pengine atakuelewa,
Humu ndani kuna watu wanamuonea wivu sana,mara oh jini,mara oh piga simu bugando wakuwekee chumba,mara oh Lulu huyo andika urithi,now which is which?
 
Back
Top Bottom