Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Hili jamaa linawaza mangono tu kwani mtu akilala kama huna wazo chafu utasema yote hayo? Ni matamaa tu, halitofautiani na yale ambayo yakiona yanaangaliwa sana na mwanamke yanajua yanapendwa au yakichekwa yanawaza yanapendwa. Pole msafiri usikurupuke.
 
muache alale mkuu ,tumeambiwa tuwahurumie wenzetu hasa tunapokuwa na uwezo wa kuwasaidia,pls help,
 
kumbe kichuri ni mchanganyiko wa vimavimavi na damu ya mnyama inayokingwa wakati wa kuchinjwa?
Duh,hii kitu balaa,imejazwa pilipili ya kufa mtu mpaka masikio yakawa yanaunguruma ziiiiiiiiiiiii lo!
Mtoto nimemuacha ukweni wakuu.
Kwa sebene la night sasa natarajia kutangaza ndoa in next few months.
Shukurani za pekee ziende kwa maagent waliotupanga siti za pamoja,pia ntakua mchoyo wa fadhila nisipomshukuru boss wangu aliyenituma hapa Mwanza.
 
inaelekea wewe ndezi umejitoa muhanga ( hujatumia zana )

Pipi kwenye mfuko inalika mkuu?
Tena mjeda?hawa watu nilikua na usongo nao sana kiongozi naomba mnisamehe,kwanza sikuikumba,nimeikumbuka baada ya kwenda kuokota mpira nyavuni baada ya kutupia la kwanza,ila msijari sana maana baada ya ligwaride la night nilimeza ampicilin!
So in that way nadhani niko fiti.






.
 
Hongera mkuu kwa mpambano!
Vp ulipiga hat trick nn??
 
mnakumbuka enzi za warranty TRC wanafunzi tulikua tunaombea behewa without lights moja mpangiwe na girls wa weruweru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…