Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje, anatoka Musoma eneo gani ?
Kufa sijafa ila cha moto nimekiona wakuu lo!
inaelekea wewe ndezi umejitoa muhanga ( hujatumia zana )
kulaliwa hujui ni zambikwani kulaliwa kunatatizo gani bwana!
Hongera mkuu kwa mpambano!Pipi kwenye mfuko inalika mkuu?
Tena mjeda?hawa watu nilikua na usongo nao sana kiongozi naomba mnisamehe,kwanza sikuikumba,nimeikumbuka baada ya kwenda kuokota mpira nyavuni baada ya kutupia la kwanza,ila msijari sana maana baada ya ligwaride la night nilimeza ampicilin!
So in that way nadhani niko fiti.
.
Hongera mkuu kwa mpambano!
Vp ulipiga hat trick nn??
Hongera mkuu kwa mpambano!
Vp ulipiga hat trick nn??
Hongera mkuu kwa mpambano!
Vp ulipiga hat trick nn??
then mkipangiwa mnafanyaje mkuumnakumbuka enzi za warranty TRC wanafunzi tulikua tunaombea behewa without lights moja mpangiwe na girls wa weruweru
Mkuu anatoka sehemu moja inaitwa Buhemba.