Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Demu ananiomba anilalie zipuni!!

hahaha kwani mlikuwa mnaongea kizanaki hebu nambie mmefika wapi sasa...kwa kifupi yashinde majaribu
Nyegezi hiyo Mwanza,hapa sasa hivi tunapata zetu sato na sima kisha nikamtafutie guest maeneo ya buzuruga,
Sasa anataka nimkampani mpaka morning,mie nadhani ngoja tuu nijitose nikamkampani,akilalamika baridi ntampa joto.
 
Kama umemtamani umeshazini mdau!
Mi nadhani muepuke ili isijeleta balaa mngali mposafarini.
 
Ni kweli mkuu huyu jamaa kaota au kafikiri maana siti zenyewe hazina mwanya huo

Asemayo Mendieta yawezekana as far as ukubwa wa seat is concerned haswa kwa mabasi yenye 2x2 seats, yenyewe kidogo ni spacious. Uhalisia wa simulizi kwa upande mwingine bado ni .............
 
mwanzo mwisho kicheko aaah inapendeza kweli mapenzi kitu ingine jamani.
 
Nyegezi hiyo Mwanza,hapa sasa hivi tunapata zetu sato na sima kisha nikamtafutie guest maeneo ya buzuruga,
Sasa anataka nimkampani mpaka morning,mie nadhani ngoja tuu nijitose nikamkampani,akilalamika baridi ntampa joto.

A big liar I ever seen!
 
amtamazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake!
 
Nyegezi hiyo Mwanza,hapa sasa hivi tunapata zetu sato na sima kisha nikamtafutie guest maeneo ya buzuruga,
Sasa anataka nimkampani mpaka morning,mie nadhani ngoja tuu nijitose nikamkampani,akilalamika baridi ntampa joto.

mkuu!inakaribia saa 7 usiku nafuatilia movie!tupia mwendelezo!tell me only one thing!umetumia DAWA YA PENZI?
 
Dah mshikaji wenzio hatujalala tunataka kujua muvi la kihindi limeishaje? Update basi
 
hakuna mke wa mtu anayetoa uchi kama hana matatizo ktk ndoa yake!mke wa mtu akikukubali tu ujue ana shift au ana share matatizo ya ndoa yake kwako!watch out men!
 
Mulize atapata likizo lini namimi nipande zuberi?
 
....ivi bado unaandika tu scripts hapa hujaanza "KUMDENGA"?..
 
Back
Top Bottom