Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Si dhani ni tatizo kusubiri hadi wakati muafaka utakapofika lkn hofu yangu ni kuwa kwanini kama amewahi kudo akukatalie wewe kudo? inawezekana anahofu soon akido nawe utajua mapungufu yake na kumkimbia. hivyo ni vizuri kukubaliana nae km kweli unampenda maana waswahili husema 'BIASHARA IMANI' n kubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia ilimradi umempenda kwa dhati ya moyo wako.
 
Hapo ndipo panaponichanganya! Nitaona atabana hadi lini. Vinginevyo.........
 
Sioni yeye kukutokea na kukataa kuhusiana kimwili kwa sasa vinaingiliana vipi!!
Kama unampenda kweli msubirie..anasababu zake..either hataki kuchezewa bila uhakika wa kuwekwa ndani au anataka kukuuzia kondoo kweny gunia!
 
Anadai ni kwa kuwa amenipenda na alitamani sana kuishi nami baadae, sio kwa kuwa alikuwa na tamaa. Niko kwenye dilemma anaweza kuwa ameficha kweli mbuzi kwenye gunia au basi yuko genuine. But she is very religious may be ndiyo sababu, au ni pretence tu!
 
Hainipi huyo anakubania kwa nini? bora angekuwa bikira angeeleweka. mweleze unavyojisikia kwa undani na uonyeshe hisia kabisa. anaogopa ku take risk tena kama alivyofanyiwa kabla kama sivyo amekuweka akiba yeye anaendelea kufanya tu na wengine
 
Subiri kijana.....kama kweli umependa!!! kuhusu ishu ya kuwa alishafanya mapenzi kabla,haimpi yeye ulazima wa kufanya na wewe....kuna jambo lake amejifunza au anamuogopa Mungu wake na ameshaamua kutofanya mapenzi hadi baada ya kiapo......usichakachue nje,waweza haribu,na navyoona unampenda kweli huyu binti!!!:washing:
 
Mwambie hisia na mihemko imekuzidi uwezo hivyo uvumilivu umekushinda kitakachotokea tusilaumiane. Nishawahi kuwa na dem wa aina hiyo anabana kwangu kumbe kuna mtu anabandua kisela
 
Haraka ya nini wakati pole pole ndio mwendo.
 
mweleze jinsi gani unavyompenda lkn akuruhusu kutafuta sehemu y kupunguzia ......mana ukikaa pending hivyo hizo hapo lawama ujue.
 
Akuruhusu ukachakachue hivi mambo ya kusubiri harusi bado yapo tu? basi fanya haraka muoane kama imeshindikana kusubiri
 
Tulia Mr, "kuku wako manati ya nini"? Kwani kufanya mapenzi kunahalalisha upendo?
 
Alafu wewe unajiita ''SENIOR BACHELOR'' huku bado unamwita msichana unaedai anaweza kua mke wako DEMU????
 
Tamaa mbaya zilimponza mzee fisi,wewe kama unampenda na unahitaji kuwa wote anza process za ndoa kama vp mfunge ndoa uanze kudo. Mi nafikiri kama huyo dada alikufuata mwenyewe ina maana ameshaona hao wengine wote wazushi na kesha jifunza madhara ya kufanya mapenzi. Subiri uoe ndo uchakachue sa hivi we muote tu ndo ruksa. Mi mwenyewe Nisingependa kuoa mwanamke tuliechakachuana maana kuna heshima ya pekee kwa watu wanoweza kujitunza kabla ya ndoa. Hie mihemko yako ni kwa sababu unaendekeza mawazo ya ngono na ujue an idle mind is a devel house so keep uarself busy,Kama huwezi kuwa busy kwa kazi anza kufanya extra curricular activities kama Charity works ama Mambo mengine ya maana na hutaamini hiyo miaka itapita na hutajuta!!
 
Kwa kifupi tu sijakuelewa unamaanisha nini,au labda ni haka kakonyagi alikoniruhusu LD leo..?/
 
Hapo ndipo panaponichanganya! Nitaona atabana hadi lini. Vinginevyo.........

kwani wasiwasi ni nini hasa? hana k? k haifanyi kazi yake sawasawa? kama hii ni even possible maana ni ngumu na sijawahi ona jembe lisiloweza kuweka mpini.
 
Hainipi huyo anakubania kwa nini? bora angekuwa bikira angeeleweka. mweleze unavyojisikia kwa undani na uonyeshe hisia kabisa. anaogopa ku take risk tena kama alivyofanyiwa kabla kama sivyo amekuweka akiba yeye anaendelea kufanya tu na wengine

kwani wasiwasi ni nini hasa? hana k? k haifanyi kazi yake sawasawa? kama hii ni even possible maana ni ngumu na sijawahi ona jembe lisiloweza kuweka mpini.

Usipoangalia utauziwa mbuzi kwenye gunia kwani hayo mambo ya kusubira yapo kweli siku hizi sidhani lazima utest kwanza mzigo kama unalipa au laah ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…