Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.