Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Kama unampenda kwa dhati, wewe vumilia tu.
 
Hayapo kabisa siku hizi
Du DA nina mashaka kama umefanya utaiti juu ya hayo unayoongea.Most of the time tunapenda ku- generalize Binafsi kuna watu ninaowafaham na ni watu wangu wa karibu saana Both males and females ambao hawaku do mpaka harusi.Inategemea na malezi pia na Uwezo wa mtu kuwa detetermined.I still believe wapo wema na watiifu wa sheria za Mungu hapahapa duniani!!
 
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.

andaa mazingira very romantic mkiwa pamoja yatakayo m-turn on then ww utamueleza kirahisi na kivitendo....pia usionyeshe kama nia ni kuchakachua tu atajua unataka hit n run jaribu kuonyesha kwamba hiyo ni by the way tu katika penzi endelevu...
 
Aisee..wewe huna mapenzi na huyo demu 4 real! Alikutongoza ukaona hapa namkubalia, nala tunda..then nasepa! Shock on u, hujapewa mpaka sasa na ina-frustrate mipango yako!
I doubt if u really love the chick...au kama kweli una mipango ya harusi naye! Miaka miwili ni nini kwa umpendaye bwana? so u mean akienda masters nje utamfuata? au utachakachua nje? acha kujifanya weak in this thing...SI LAZIMA KU-DO!
Aristotle aliwahi kusema, "Kuna raha kubwa mbili duniani, 'ile ya kufaulu mtihani, na ile ya usiku wa kwanza baada ya ndoa'."...subiri uipate raha hii kaka.
 
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu saana ni vigumu saana kumuelewa mwanamke anataka nini! sometimes huwezi jua kama kuna mapenzi ya kweli au vipi. Unaweza kuta anakunyima wewe lkn kuna mtu mwingine anajimegea tuuu lkn hayupo katika plan zake za maisha ya baadae, wewe ambaye kakuona mwaweza ishi wote anakunyima lkn atakuonesha upendo wa hali ya juu na kweli unakuwa upo moyoni mwake! unachotakiwa kufanya hapo mkuu ni kutafuta file la huyo dada, family yao ikoje history yake ili usije ingia pabaya sababu ndoa mkuu si mchezo!
 
Subiri kijana.....kama kweli umependa!!! kuhusu ishu ya kuwa alishafanya mapenzi kabla,haimpi yeye ulazima wa kufanya na wewe....kuna jambo lake amejifunza au anamuogopa Mungu wake na ameshaamua kutofanya mapenzi hadi baada ya kiapo......usichakachue nje,waweza haribu,na navyoona unampenda kweli huyu binti!!!:washing:

Da Michelle....Is that realistic?! Asubiri mpaka lini wakati hawajui kama wataoana..na wataoana lini! Kama kweli kuna umuhimu wa kusubiri mpaka waoane, jamaa anafikiria 'kuchakachua' dem mwengine kutuliza hamu wakati anasubiria hiyo ndoa, unamshauri hivyo kweli?!
 
Du DA nina mashaka kama umefanya utaiti juu ya hayo unayoongea.Most of the time tunapenda ku- generalize Binafsi kuna watu ninaowafaham na ni watu wangu wa karibu saana Both males and females ambao hawaku do mpaka harusi.Inategemea na malezi pia na Uwezo wa mtu kuwa detetermined.I still believe wapo wema na watiifu wa sheria za Mungu hapahapa duniani!!

Hakuna mtu asiyemtii na kumuheshimu Mungu. Kusema ni rahisi kuliko kutenda ndugu endelea kuwa na imani uyashinde majaribu yote ya duniani
 
Ana akili sana huyo... Vumilia kama una UHAKIKA mtakuwa wachumba na mwishoni, wanandoa..... USICHAKACHUE nje, utapata MAGONJWA bure na mwishowe ni kifo..
 
unajua umenikumbusha movies mojaa inaitwa NAKED MILES..ilikuwa kama mapenzi yenu jamaa akitaka mzigo anaambiwa subiri mdaa,demu alivyo onaa jamaa anakazania...akampa nafasi akafurai na rafiki zake kwenye "naked miles party" weekends na kumwambia, ''i give u free glity pass go and do watever u do even....then after loss u self come back to me"baada ya jamaa kwenda nyuma demu akaaza kujutia uwamuzi wake,BUT MWISHO CSE JAMAA ALIKUWA ANA MPENDA DEMU WAKE AKUFANYAA CHOCHOTE.NAMWISHO WA SIKU DEMU AKALENGEZA MSIMAMO JAMAA AKAPIGAAA MZIGO.
 
muambie kuwa wewe huwezi kuishi mwaka mzima bila ku do kwasababu huumwi sasa unamuomba ili ukasaidia
 
Ana akili sana huyo... Vumilia kama una UHAKIKA mtakuwa wachumba na mwishoni, wanandoa..... USICHAKACHUE nje, utapata MAGONJWA bure na mwishowe ni kifo..
Huyu jamaa hana uhakika kama watakuwa wachumba na mwishoe wanandoa, na pia inaonyesha hana uvumilivu!
 
unajua umenikumbusha movies mojaa inaitwa NAKED MILES..ilikuwa kama mapenzi yenu jamaa akitaka mzigo anaambiwa subiri mdaa,demu alivyo onaa jamaa anakazania...akampa nafasi akafurai na rafiki zake kwenye "naked miles party" weekends na kumwambia, ''i give u free glity pass go and do watever u do even....then after loss u self come back to me"baada ya jamaa kwenda nyuma demu akaaza kujutia uwamuzi wake,BUT MWISHO CSE JAMAA ALIKUWA ANA MPENDA DEMU WAKE AKUFANYAA CHOCHOTE.NAMWISHO WA SIKU DEMU AKALENGEZA MSIMAMO JAMAA AKAPIGAAA MZIGO.

Nzuri sana niliiona hii
 
Kuna mambo mengi hapo

a) inawezekana huyo aliyefanya nae mapenzi alimtelekeza baada ya ku do nae, sasa hataki irudie tena
b) labda ana kasoro ambayo anaogopa kukuonyesha na ndo mana yule jamaa mwingine alisepa baada ya kuiona
c) kuna jamaa mwingine ambae anakula mzigo ila hana maisha nae na wewe anataka kuona uvumilivu wako
d) anamwogopa mungu baada ya kufanya mara ya kwanza na anataka afanye baada ya ndoa
e) wewe hujaweza kumweka kwenye kona vizuri ili aachie mzigo coz yeye ndo alikutongoza
f) anataka umwone kwamba yeye sio mrahisi kiasi hicho japokua alikutongoza alikua hafuati ngono kwako kiivyoooooo wanaume wengi wanavyofikiri. (unajua miwanaume ina akili ndogo sana kwenye maswala ya kimapenzi, eti akitongozwa na demu basi anafikiri yesu kashusha manemane cku hiyo hiyo anataka ku do! We dogo tulia hakuna ngono kwa sasa hadi miaka 2 kudadeki, dada kaza kamba!
 
Kaka kama ID yako ni kweli na your real id, kwa nini usimchukue? Au unamashaka naye na humuamini. Labda muulize kwa nini anakunyima. Mi naona ni bora tu umalizane na maadili ili umiliki. Kama unamfahamu vyema (including historical back ground) maliza tu awe nkeo.
Hii ya kutest kaka sidhani kama utapata kilichobora zaidi, chips si viazi tu kuku mapambo?
 
Du DA nina mashaka kama umefanya utaiti juu ya hayo unayoongea.Most of the time tunapenda ku- generalize Binafsi kuna watu ninaowafaham na ni watu wangu wa karibu saana Both males and females ambao hawaku do mpaka harusi.Inategemea na malezi pia na Uwezo wa mtu kuwa detetermined.I still believe wapo wema na watiifu wa sheria za Mungu hapahapa duniani!!
I concur with You!
Nadhani na nimehakikisha kuwa kuna faida nyingi kuliko hasara katika kusubiri mpaka ndoa kuliko kuanza mahusiano ya kingono kabla.Kuna matatizo mengi ya kisaikolojia yanayoweza kuchangiwa na 'sex before marriage'Ninaamini ni vyema kusubiri!!!
 
So wewe unaona noma kusubiri?umeona ngono ni msosi ambao ukiukosa unakufa? me nimeoa na miaka 30 na siku do kabla ya hapo mbona nipo fit tu, acheni umalaya wenu bwana- subiri
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.
 
Tamaa mbaya zilimponza mzee fisi,wewe kama unampenda na unahitaji kuwa wote anza process za ndoa kama vp mfunge ndoa uanze kudo. Mi nafikiri kama huyo dada alikufuata mwenyewe ina maana ameshaona hao wengine wote wazushi na kesha jifunza madhara ya kufanya mapenzi. Subiri uoe ndo uchakachue sa hivi we muote tu ndo ruksa. Mi mwenyewe Nisingependa kuoa mwanamke tuliechakachuana maana kuna heshima ya pekee kwa watu wanoweza kujitunza kabla ya ndoa. Hie mihemko yako ni kwa sababu unaendekeza mawazo ya ngono na ujue an idle mind is a devel house so keep uarself busy,Kama huwezi kuwa busy kwa kazi anza kufanya extra curricular activities kama Charity works ama Mambo mengine ya maana na hutaamini hiyo miaka itapita na hutajuta!!

Mengine sahihi lakini pia kwenye red pale...hajajitunza maana alishachakachua kabla!
 
Kuku wako mwenyewe,manati ya nini??????????????
 
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.

raha ya mechi bao,
utarud umu unalia uyo dem akikutema..:smash:
 
Back
Top Bottom