Usipoangalia utauziwa mbuzi kwenye gunia kwani hayo mambo ya kusubira yapo kweli siku hizi sidhani lazima utest kwanza mzigo kama unalipa au laah ha ha ha ha
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.
Sioni yeye kukutokea na kukataa kuhusiana kimwili kwa sasa vinaingiliana vipi!!
Kama unampenda kweli msubirie..anasababu zake..either hataki kuchezewa bila uhakika wa kuwekwa ndani au anataka kukuuzia kondoo kweny gunia!
Anadai ni kwa kuwa amenipenda na alitamani sana kuishi nami baadae, sio kwa kuwa alikuwa na tamaa. Niko kwenye dilemma anaweza kuwa ameficha kweli mbuzi kwenye gunia au basi yuko genuine. But she is very religious may be ndiyo sababu, au ni pretence tu!
Hainipi huyo anakubania kwa nini? bora angekuwa bikira angeeleweka. mweleze unavyojisikia kwa undani na uonyeshe hisia kabisa. anaogopa ku take risk tena kama alivyofanyiwa kabla kama sivyo amekuweka akiba yeye anaendelea kufanya tu na wengine
Haraka ya nini wakati pole pole ndio mwendo.
Akuruhusu ukachakachue hivi mambo ya kusubiri harusi bado yapo tu? basi fanya haraka muoane kama imeshindikana kusubiri