Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,427
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye figure bomba, tako murua na tepetepe kama sofa la sufi,, sura ka Alicia keys, nywele natural long and flowing yaani kakamilika mbebi....! Tukiwa kimya almost wote Mara demu akajamba "puuuuuu" afu akaniangalia akaniambia "excuse me" nikajifanya mzungu nikamjibu.."its all gud!!! Hauna haja ya kuzuia gesi tumboni dawa ni kuiachia tu ipite" nikacheka kinafiki kumridhisha tu ila kimoyomoyo nikamvua vyeo vyote nilipanga kuchukua na namba nikaharisha, demu gani hana hata manners and can't behave? Afu ushuzi unanuka kama mapanki ya mwanza yale ya Darwin's nightmare Nahisi hata marinda anaweza kuwa hana ndio maana she can't hold gas in kwenye halaiki.
Nimekaa hapa muda huu ndio nakumbuka Leo ndio Mara ya kwanza kuona demu mzuri anajamba hadharani tangu nimezaliwa. Ooooopsiii! Wanawake wasiri sana maana mwanzoni nilihisi labda hata huwa hawajambi especially wale warembo zaidi.
No sweat...ila ndo hivyo demu mzuri lakini kajamba.