Demu mzuri lakini kajamba!

Demu mzuri lakini kajamba!

Hahaaa. Ndio hivyo Mbalizi.

Kijana kaona ni jambo la ajabu.
Kwani wewe unaona kawaida best? Its so unusual yaani demu kujamba hadharani? I never seen this shiit before.
 
Hahaaaa. Akikua ataona jambo la kawaida.
Hakika

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ujue kijana kageuka kuwa kichekesho na kwa namna alivohadithia sasa!
 
Siku ukikutana na anae banja umpige picha utuletee kabisa[emoji23] [emoji23]
 
Mi ningekuuskia ningejua kama ana marinda au laa!
 
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye figure bomba, tako murua na tepetepe kama sofa la sufi,, sura ka Alicia keys, nywele natural long and flowing yaani kakamilika mbebi....! Tukiwa kimya almost wote Mara demu akajamba "puuuuuu" afu akaniangalia akaniambia "excuse me" nikajifanya mzungu nikamjibu.."its all gud!!! Hauna haja ya kuzuia gesi tumboni dawa ni kuiachia tu ipite" nikacheka kinafiki kumridhisha tu ila kimoyomoyo nikamvua vyeo vyote nilipanga kuchukua na namba nikaharisha, demu gani hana hata manners and can't behave? Afu ushuzi unanuka kama mapanki ya mwanza yale ya Darwin's nightmare Nahisi hata marinda anaweza kuwa hana ndio maana she can't hold gas in kwenye halaiki.

Nimekaa hapa muda huu ndio nakumbuka Leo ndio Mara ya kwanza kuona demu mzuri anajamba hadharani tangu nimezaliwa. Ooooopsiii! Wanawake wasiri sana maana mwanzoni nilihisi labda hata huwa hawajambi especially wale warembo zaidi.

No sweat...ila ndo hivyo demu mzuri lakini kajamba.

Kwa kukusaidia tu Mkuu kama kuna Jinsia ambayo kungekuwa na Kombe la Dunia la ' Ujambaji ' basi kila Msimu wa hayo Mashindano wangekuwa Mabingwa ni ya Kike / Wanawake. Humu kwenye Madaladala ' wanatujambia ' sana hadi inafika muda Sisi Wanaume tunashikana mashati na kusingiziana ' Kujamba ' kumbe ' Lijambaji ' limekaa tu katika Siti na ' Dela ' lake Kubwa tu huku ' likikodolea ' Simu yake na ' mimacho ' yake inazunguka utadhani Mamba wa Mto Ruaha ameona Kitoweo.

Tena bora ukutane na Mwanamke aliyejamba akiwa Kavaa ama Sketi tu au Suruali lakini ikitoke ukakutana na Mwanamke aliyevaa ' Dela ' halafu ' akajamba ' utakoma kuringa kwani Kwanza ule ' Ushuzi ' wake akishamaliza Kuutoa mule ndani ya ' Dela ' huwa unazunguka mule mule ndani huku ukijikusanya tayari kabisa kuanza kupenya nje na kuja Kutusumbua Sisi Raia wema tusiokuwa na hatia yoyote / kosa lolote lile.
 
Back
Top Bottom