Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Lol.Angejinyea siungeenda kutangaza kwenye radio na TV kabsaa.
Hahaaa. Ndio hivyo Mbalizi.Aiseee
Vijana baanaHahaaa. Ndio hivyo Mbalizi.
Kijana kaona ni jambo la ajabu.
bondeni wapi huko tena mdau[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa mpiga deki mwandamizi wa kule bondeni kutamu.
Hahaaaa. Akikua ataona jambo la kawaida.Vijana baana
hahahaaaaaa
HakikaHahaaaa. Akikua ataona jambo la kawaida.
Mmh. Usisahahu kuna bahati mbaya pia.Kwani wewe unaona kawaida best? Its so unusual yaani demu kujamba hadharani? I never seen this shiit before.
Chief kwemaAlikuwa ananyosha mbavu
Hahahaaa. Mie nilijikuta nacheka kwa sauti aiseee.Hakika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue kijana kageuka kuwa kichekesho na kwa namna alivohadithia sasa!
Kijana kasahau kuwa mkubwa huwa hajambi[emoji23] [emoji23] anapumuaMmh. Usisahahu kuna bahati mbaya pia.
Waeza kuta halikuwa lengo hata kwamba na wewe usikie au ujue ila ndio imeshatokea ulipaswa kuvunga tu.
HahahahaaaaaaaaaaaHahahaaa. Mie nilijikuta nacheka kwa sauti aiseee.
Yaani kama sio mtu anayeishi hii dunia tunayoishi sisi kwa jinsi alivyoshangaa.
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye figure bomba, tako murua na tepetepe kama sofa la sufi,, sura ka Alicia keys, nywele natural long and flowing yaani kakamilika mbebi....! Tukiwa kimya almost wote Mara demu akajamba "puuuuuu" afu akaniangalia akaniambia "excuse me" nikajifanya mzungu nikamjibu.."its all gud!!! Hauna haja ya kuzuia gesi tumboni dawa ni kuiachia tu ipite" nikacheka kinafiki kumridhisha tu ila kimoyomoyo nikamvua vyeo vyote nilipanga kuchukua na namba nikaharisha, demu gani hana hata manners and can't behave? Afu ushuzi unanuka kama mapanki ya mwanza yale ya Darwin's nightmare Nahisi hata marinda anaweza kuwa hana ndio maana she can't hold gas in kwenye halaiki.
Nimekaa hapa muda huu ndio nakumbuka Leo ndio Mara ya kwanza kuona demu mzuri anajamba hadharani tangu nimezaliwa. Ooooopsiii! Wanawake wasiri sana maana mwanzoni nilihisi labda hata huwa hawajambi especially wale warembo zaidi.
No sweat...ila ndo hivyo demu mzuri lakini kajamba.