Demu mzuri lakini kajamba!

Teh teh teh

Chit Chat bana!

Hili ndo jukwaa pekee unaloweza kukuta nyuzi kama hizi!

Demu mwenye chura kakohoa. Demu mzuri kajamba! Leo sijanya kabisa!

Hili ndo jukwaa unaloweza kukuta watu wanakujua kuliko hata ujijuavyo mwenyewe.

Oh well....such is diversity, though. And I embrace diversity in all sense of the word.

We can’t all be high-minded.
 
Hahahaaaaa. Hakuwa na jinsi ila.
Kuizuia hewa chafu isitoke mwilin kuna madhara makubwa,gas ikienda kuchanganyika na akili unaweza ukaanza kuwehuka[emoji5] [emoji5] [emoji1] [emoji1] (natania tu sijasomea udaktar wala nn)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…