Demu mzuri lakini kajamba!

Demu mzuri lakini kajamba!

Kawaida tuu ni binadamu sema wale masister duu hawapendagi ku act human. Wanapenda waonekane extraordinary. Kuna masistet enzi za shule akiumwa kifua cha kubanja hadi shule mpaka apone.
 
Sawa binadamu wote ni sawa ila kosa lake ni kuuachia mbele za watu as if hakuna mtu,huyu inawezekana alikuwa muda mrefu anajaribu kuuminya ile autoe ki style bahati mbaya akapoteza timing ukamtoka kwa sauti...
 
Gender stereotype katika ubora wake
Amejamba mwanamke story unaileta huku mkuu,angejamba mwanaume mwenzio nahisi ungeenda hata BBC kuripoti.
Mimi huwa nawashangaa sana watu wanaojiona wao ni "PERFECT" wakati wao wana mapungufu chungu nzima.
Unatakiwa ujiulize kwa nini binadamu tuna mapungufu ukiwa na jibu hutoshangaa.
Mimi sioni ajabu kwa hilo as long as huyo dada kaomba samahani kiroho safi sasa kama na wewe umemuitikia kinafiki ukae ukijua unafiki hautokuacha salama.
Halafu mtindo wa kumjudge mtu kisa kafanya kitu mbele za watu au kafanya tukio moja ugeneralize tabia au uhukumu sidhani kama ni jambo sahihi.Huo ni mfumodume umepitwa na wakati.
Mimi huwa nina principle yangu moja "NOBODY CAN JUDGE ME,EXCEPT GOD"
 
huyo ndo mzuri mkuu, maana yake hana siri,

ogopa demu ambaye hajambi mbele yako huwa wasiri sana
 
Bahati kama hizo tunazitafuta sana. Ingekuwa mimi ningenusa kabisa
 
Bahati kama hizo tunazitafuta sana. Ingekuwa mimi ningenusa kabisa
Unuse ushuzi...ila watu mna mioyo sana kuna wengine hadi wanapiga deki na ulimi kule chini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] over my dead body.
 
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye figure bomba, tako murua na tepetepe kama sofa la sufi,, sura ka Alicia keys, nywele natural long and flowing yaani kakamilika mbebi....! Tukiwa kimya almost wote Mara demu akajamba "puuuuuu" afu akaniangalia akaniambia "excuse me" nikajifanya mzungu nikamjibu.."its all gud!!! Hauna haja ya kuzuia gesi tumboni dawa ni kuiachia tu ipite" nikacheka kinafiki kumridhisha tu ila kimoyomoyo nikamvua vyeo vyote nilipanga kuchukua na namba nikaharisha, demu gani hana hata manners and can't behave? Afu ushuzi unanuka kama mapanki ya mwanza yale ya Darwin's nightmare Nahisi hata marinda anaweza kuwa hana ndio maana she can't hold gas in kwenye halaiki.

Nimekaa hapa muda huu ndio nakumbuka Leo ndio Mara ya kwanza kuona demu mzuri anajamba hadharani tangu nimezaliwa. Ooooopsiii! Wanawake wasiri sana maana mwanzoni nilihisi labda hata huwa hawajambi especially wale warembo zaidi.

No sweat...ila ndo hivyo demu mzuri lakini kajamba.
hana marinda huyo
 
Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti lol.

Kwa kuwa naye ni binadamu aliyekamilika kama wengine sioni kama alichokifanya ni kitu cha ajabu sababu huenda ikawa amepon**kwa.

Eti "Excuse me" lol.
Hebu tupe uzoefu wako ikikitokea wewe unajizuia?
 
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye figure bomba, tako murua na tepetepe kama sofa la sufi,, sura ka Alicia keys, nywele natural long and flowing yaani kakamilika mbebi....! Tukiwa kimya almost wote Mara demu akajamba "puuuuuu" afu akaniangalia akaniambia "excuse me" nikajifanya mzungu nikamjibu.."its all gud!!! Hauna haja ya kuzuia gesi tumboni dawa ni kuiachia tu ipite" nikacheka kinafiki kumridhisha tu ila kimoyomoyo nikamvua vyeo vyote nilipanga kuchukua na namba nikaharisha, demu gani hana hata manners and can't behave? Afu ushuzi unanuka kama mapanki ya mwanza yale ya Darwin's nightmare Nahisi hata marinda anaweza kuwa hana ndio maana she can't hold gas in kwenye halaiki.

Nimekaa hapa muda huu ndio nakumbuka Leo ndio Mara ya kwanza kuona demu mzuri anajamba hadharani tangu nimezaliwa. Ooooopsiii! Wanawake wasiri sana maana mwanzoni nilihisi labda hata huwa hawajambi especially wale warembo zaidi.

No sweat...ila ndo hivyo demu mzuri lakini kajamba.
Unazngua wwe kwann acjambe makalio hana au au ye ali...
 
Back
Top Bottom