Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mi napiga.Unuse ushuzi...ila watu mna mioyo sana kuna wengine hadi wanapiga deki na ulimi kule chini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] over my dead body.
Muulize
Mzigua90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi napiga.Unuse ushuzi...ila watu mna mioyo sana kuna wengine hadi wanapiga deki na ulimi kule chini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] over my dead body.
Amepo.....nn?[emoji1] [emoji1]Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti lol.
Kwa kuwa naye ni binadamu aliyekamilika kama wengine sioni kama alichokifanya ni kitu cha ajabu sababu huenda ikawa amepon**kwa.
Eti "Excuse me" lol.
Hahaa. Ndio hivyo.Amepo.....nn?[emoji1] [emoji1]
Acha uoga,mbona vitu easy sana hvyoUnuse ushuzi...ila watu mna mioyo sana kuna wengine hadi wanapiga deki na ulimi kule chini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] over my dead body.
Dem alipata shambulio la aibu teh tehHahaa. Ndio hivyo.
Hahahaaaaa. Hakuwa na jinsi ila.Dem alipata shambulio la aibu teh teh
Kuizuia hewa chafu isitoke mwilin kuna madhara makubwa,gas ikienda kuchanganyika na akili unaweza ukaanza kuwehuka[emoji5] [emoji5] [emoji1] [emoji1] (natania tu sijasomea udaktar wala nn)Hahahaaaaa. Hakuwa na jinsi ila.
Halafu hukunielekezaga kulock pm hajar[emoji5]Hahahaaaaa. Hakuwa na jinsi ila.
Hahaha. Husahau Mkuu?Halafu hukunielekezaga kulock pm hajar[emoji5]
Nikionaga comment yako popote huwa nakumbuka ishu ya pmHahaha. Husahau Mkuu?
Duuh! We tumia browse kuingia jf huko utakutana na kila kitu hivyo kazi yako itakuwa kubadilisha tu vile ambavyo unataka iwe.Nikionaga comment yako popote huwa nakumbuka ishu ya pm
Mi natumia Jf appDuuh! We tumia browse kuingia jf huko utakutana na kila kitu hivyo kazi yako itakuwa kubadilisha tu vile ambavyo unataka iwe.
Huko. Sijui kama zipo sababu mie natumia sana Browse na huko ndio nafanyia Settings zangu zote.Mi natumia Jf app