Demu wa Kimarangu noma

kwani msichana akikuambia twende sehemu flani lazima wewe ulipe.kumbe ndo maana nikiwaambia wakaka twende sehemu flani wanakimbia eeh.itabidi nifanye booking kwanza jamani
 
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.
<br />
<br />
craaaaaaaaaaaaaaap!!! Huna akili, suala la demu kukutaka pesa si la kabila, ni hulka binafsi.
 
uliingia kwa gia ya una hela eh!? wacha wakukomeshe
 
kwani msichana akikuambia twende sehemu flani lazima wewe ulipe.kumbe ndo maana nikiwaambia wakaka twende sehemu flani wanakimbia eeh.itabidi nifanye booking kwanza jamani

Wewe nakuambia haya yote yalitokea ndani ya wiki moja na nusu tangu tukutane njiani kitu ambacho si cha kawaida!
kwa mtu kama mimi nilazima nikusome kwanza ndo kama ni mambo ya vocha na mambo mengine yaendelee bana.
 
unazidi kunitia hasira, ni kabila lipi hawapendi chapaa mazee, wewe unaonyesha unakatabia ka ubahili (watani zangu), kwani hujui ile ya kula na kulipa, we ule vya wenzio vyako vikiliwa unakuja juu, kijana kajipange upya.
 
mimi siyo mtani wako ila msamanga.
 
<br />
<br />
hospitali flani kwenye wodi ya wazazi ilitokea nesi amechanganya watoto, then doctor alivyoingia akawauliza makabila yao, mmoja wa hao wazazi alikuwa mchaga na mwingine kabila lingine so doctor akasema nitadondosha sarafu sakafuni kati ya hawa watoto, mtoto atakaelia sarafu ikidondoka ndo mtoto wa mama wa kichaga.! Sarafu ilipogusa tu sakafu, katoto kakichaga kakaanza kulia huku kanyoosha mikono.! Hakakujali umri wake wa masaa mawili.!!! So msiwalaumu, hawakuanza leo.
 
huu utoto upeleke facebook sio huku kwa wakubwa zako. maku kabisa wewe.
 
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.
Okay, akiwa na shida hapaswi kukwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…