Demu wajf unaweza ruka nae?

Demu wajf unaweza ruka nae?

..................................

brain is the beautiful part of the body.
 
Madem wa jf ni wapenda pesa alaf wagumu kutoa papuchi [emoji4][emoji4]

Post sent using JamiiForums mobile app
nataka kuuliza watu watarukaje na mademu wa JF? kwa ndege au ungo?

nauliza tu
 
mi siwezi mana atakua much know kama mange, mcharuko kama gigi, mashauzi kama diva, akiwa tomboy basi ni chemical, matusi hayamkauki mdomoni kama povu la shilawadu, aaaaaa usicheze na mademu wa jf

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani wana rangi ya kijani au blue?
Demu demu tu wewe sasa kama wa JF wanakushinda utamweza mwari mcharuko wa kizaramo na ngenga yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii vita ya vibamia.... sitaki niumbuke
 
Back
Top Bottom