Demu wajf unaweza ruka nae?

Demu wajf unaweza ruka nae?

emailpassword

Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
99
Reaction score
92
mi siwezi mana atakua much know kama mange, mcharuko kama gigi, mashauzi kama diva, akiwa tomboy basi ni chemical, matusi hayamkauki mdomoni kama povu la shilawadu, aaaaaa usicheze na mademu wa jf

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mjaribu miss natafuta

Wapo wengine waelewa na waaminifu ,kuna watu wanapata wake malighafi (wife material) humu mkuu..
 
Huwezi ruka na demu wa JF kwa sababu kwa watu kama sie tulao kuku na yai lake a.k.a. washikisha ncha ya kitanda/ukuta mademu tukifanya hivyo watakuja hapa na kuandika mapenzi yetu hadharani mwishowe tukakimbiwa na wengine.
 
Siwezi kamwe maana mademu wengi wa JF ni sawa na wa Bongo muvi au wa uchochoroni.....unaweza toka naye na kwenda naye kuchapa utashitukia unachapwa wewe na picha yako ikaja kubandikwa hapa JF kwa majigambo kuwa Mkereketwa_Huyu mshana jr ni bwabwa tu, hili hapa nimelila jana usiku kucha.
 
mi siwezi mana atakua much know kama mange, mcharuko kama gigi, mashauzi kama diva, akiwa tomboy basi ni chemical, matusi hayamkauki mdomoni kama povu la shilawadu, aaaaaa usicheze na mademu wa jf

Post sent using JamiiForums mobile app
Sorry but totally misleaded

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siwezi kamwe maana mademu wengi wa JF ni sawa na wa Bongo muvi au wa uchochoroni.....unaweza toka naye na kwenda naye kuchapa utashitukia unachapwa wewe na picha yako ikaja kubandikwa hapa JF kwa majigambo kuwa Mkereketwa_Huyu mshana jr ni bwabwa tu, hili hapa nimelila jana usiku kucha.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Madem wa jf ni wapenda pesa alaf wagumu kutoa papuchi [emoji4][emoji4]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Madem wa jf ni wapenda pesa alaf wagumu kutoa papuchi [emoji4][emoji4]

Post sent using JamiiForums mobile app
sio kweli ni vile hujakutana nao tu

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Back
Top Bottom