Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu nipe mmoja wao ambae unahisi ni kitongasio kweli ni vile hujakutana nao tu
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
HahaahahahahSiwezi kamwe maana mademu wengi wa JF ni sawa na wa Bongo muvi au wa uchochoroni.....unaweza toka naye na kwenda naye kuchapa utashitukia unachapwa wewe na picha yako ikaja kubandikwa hapa JF kwa majigambo kuwa Mkereketwa_Huyu mshana jr ni bwabwa tu, hili hapa nimelila jana usiku kucha.
Kwani hao wa jf wanatoka mapangoni??
nataka kuuliza watu watarukaje na mademu wa JF? kwa ndege au ungo?Madem wa jf ni wapenda pesa alaf wagumu kutoa papuchi [emoji4][emoji4]
Post sent using JamiiForums mobile app
nawaheshimu siwezi fanya ivyo.... we tafuta tuu utapata
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35]
Post sent using JamiiForums mobile app
namshangaa hahaha kuna watu wa nguvu humu jf........... watu tunakula goodtimes yeye anasema blablaSorry but totally misleaded
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani wana rangi ya kijani au blue?mi siwezi mana atakua much know kama mange, mcharuko kama gigi, mashauzi kama diva, akiwa tomboy basi ni chemical, matusi hayamkauki mdomoni kama povu la shilawadu, aaaaaa usicheze na mademu wa jf
Post sent using JamiiForums mobile app