Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

Unaona rahaa mwenyewe kuchepuka na kumuacha mkeo home ukijua yupo salama asilimia 100, dk tano baada ya kwenda kwa mchepuko wako njemba inampigia simu mkeo, njoo gesti fulani mi nishafika hapa weyeee,
Kabisa hii ipo sana tu
 
Makosa makubwa watubwanayofanya kuchagua mchumba ni hya.

1.umekutana na demu clab au sehm za strehe.
2. Umemuiba dem wa mshikaji. Kma wewe uliiba jua utaibiwa pia.

3. Ulimlazimisha akupende kwa kumrubin na vipesa vyako. Atakupendea pesa tu na ataliwa nje.

4. Hukujua historia yake ya kimapenzi.
 
Makosa makubwa watubwanayofanya kuchagua mchumba ni hya.

1.umekutana na demu clab au sehm za strehe.
2. Umemuiba dem wa mshikaji. Kma wewe uliiba jua utaibiwa pia.

3. Ulimlazimisha akupende kwa kumrubin na vipesa vyako. Atakupendea pesa tu na ataliwa nje.

4. Hukujua historia yake ya kimapenzi. Umekurupka tu. Kumbe dem wa washikaji wa kitaa
 
what goes around comes back around..
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Back
Top Bottom