Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
- Thread starter
-
- #21
Kabisa hii ipo sana tuUnaona rahaa mwenyewe kuchepuka na kumuacha mkeo home ukijua yupo salama asilimia 100, dk tano baada ya kwenda kwa mchepuko wako njemba inampigia simu mkeo, njoo gesti fulani mi nishafika hapa weyeee,
Si kweli ukiwa hujajua ukijua dah utasema siamini kama hili lingetokeaSi kwel hata kdogo,..karma IS JUS A WORD...
Kabisa[emoji23] [emoji23]Bila picha itakuwa habari haijakamilika eeeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaona ngumu auMkuu umenishangaza ulivyohuru kusema kuwa MKEO kagegedwa...
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka kusema malaya huwa na mahusiano/ huoa au kuolewa na malaya mwenzieNa wake zao watalalwa tu.Ukilala mke wa mtu na wako ataliwa tu.Embu fuatilia hii kitu Kwa ukaribu utagundua hilo
Sana aiseewanaume mnaowala wake za watu (zetu) mnajiamini vibaya saana.
Sehemu ya pili zitakuja pichaHiyo ni kawaida sana, upanga hukata kuwili ila, mkuu jitahidi kuweka picha ya style kidogo uzi ueleweke
Nakubaliana nawe kwa asilimia zoteAlways what goes around comes around. ...kwa kiwango na kipimo kilekile
Ni kweli mkuuNakubaliana nawe kwa asilimia zote
sasa kipi bora maana usipomla mke wa mtu wakwako ataliwa tuNa wake zao watalalwa tu.Ukilala mke wa mtu na wako ataliwa tu.Embu fuatilia hii kitu Kwa ukaribu utagundua hilo
Hahaha......pamoja na Jina lako jiandae na wewePoleni sana wana ndoa sie tunawatafunia tu !
Hata dada huna,mama je?Poleni sana wana ndoa sie tunawatafunia tu !