Huo ndio miongoni mwa uadilifu wa Mola wetu. Yaani huwa anawakutanisha mnaofanana ili muendeshane vizuri.Sababu kuchepuka,
Tatizo ni kwamba ukioa mtu wa tabia kama zako tegemea kwamba anaweza kufanya yote ambayo wewe wafanya, yawe mazuri au mabaya. Mume na Mke huendana sana sanaaa, hivyo kama wewe ni mtu mwema basi mkeo naye anaweza kuwa mwema: Unavyoingia kwenye ndoa lazima akili yake itulie ili mwenzako akose visababu vya kwenda nje kuchepuka....Tuliza kichwa sanaaaaa
Yaani kama wewe ni mshirikina lazima utakuna na mshirikina mwenzako au kama wewe ni mzinzi lazima utakutana na mzinzi mwenzako au mfano wake.