Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Nae adai risiti kama anauziwa,tujengee hospital!Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu
Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila hela.
Naona mapenzi kwasasa tunadate na malaya waliojificha
Ni mwendo wa EFD tu 🤣Nae adai risiti kama anauziwa,tujengee hospital!
Mademu jau sana afu jamaa ndio alikuwa top manyota na kujali sanaaaaRed flag
Pole sana mkuuWajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu
Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila hela.
Naona mapenzi kwasasa tunadate na malaya waliojificha
Upo kwenye hiyo team KATAA NDOA? sasa mtaishi vipi bila kuendeleza vizazi???KATAA NDOA Hadi kuonga hatutaki 😂
Wanasema mwamini mama mzazi tuu!Mademu jau sana afu jamaa ndio alikuwa top manyota na kujali sanaaaa
Hatuwowi tutabariki ndoa tukishafikisha miaka 80 huko kwahiyo watoto kupata inawezekana mazeeUpo kwenye hiyo team KATAA NDOA? sasa mtaishi vipi bila kuendeleza vizazi???
Huyo jamaa yako ni bahili,.. Demu lazima umpe hela. Pads zao wenyewe kununua ni hela, bado tena we mwanaume unataka umchafue tu na mashahawa yako kisha umwache hapo.Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu
Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila hela.
Naona mapenzi kwasasa tunadate na malaya waliojificha
Alipie huduma kama hotelini!Huyo jamaa yako ni bahili,.. Demu lazima umpe hela. Pads zao wenyewe kununua ni hela, bado tena we mwanaume unataka umchafue tu na mashahawa yako kisha umwache hapo.
Hapana jamaa anamjali sana demu wake sio pesa tu yaani kila kitu demu alikuwa anapataHuyo jamaa yako ni bahili,.. Demu lazima umpe hela. Pads zao wenyewe kununua ni hela, bado tena we mwanaume unataka umchafue tu na mashahawa yako kisha umwache hapo.
Mshika pembeni wake huyu!Umeyajuaje hayo yote?
Mimi nayeye ni marafiki sana na tunajuana sana, kifupi ni rafiki yao tangu 2020 huko nawajua vyemaUmeyajuaje hayo yote?
Kachokwa jamaa Yako!Hapana jamaa anamjali sana demu wake sio pesa tu yaani kila kitu demu alikuwa anapata
Hahah... Ndiyo,.. Mshamba wa mapenzi huyo,. anataka kutesa tu mtoto wa watu bure bure. Aingize hadi sikioni kisha amwache bure Loh!!Alipie huduma kama hotelini!
Hapo Sio mbali mkuu,kachokwaa!Mimi nayeye ni marafiki sana na tunajuana sana, kifupi ni rafiki yao tangu 2020 huko nawajua vyema