Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
- #21
Acha noma hizo? We huna rafiki ambaye akipata shida anakuomba msaada au namna ya kusolve? Huna mwana ambaye unajua mahusiano yake na mwenzi wake?Mshika pembeni wake huyu!
Acha noma hizo? We huna rafiki ambaye akipata shida anakuomba msaada au namna ya kusolve? Huna mwana ambaye unajua mahusiano yake na mwenzi wake?Mshika pembeni wake huyu!
Mim nimemuambia awe makini usikute demu kamchoka au ana mchizi mpya huko nje na penzi lipo motoAlipie huduma kama hotelini!
Dah mademu sijui huwa wanataka nini aloooHapo Sio mbali mkuu,kachokwaa!
Hebu kanitag aysee niukopi kisha nimtumie mwana akadake UTI yakeHujauona uzi unaosema BORA KUNUNUA?
Acha noma hizo masterUyo jamaaa ni wewe!
Alafu mkuu inaonekana una tabia za kimbea mbea sana!!
Wew na huyo demu mna tofauti gani??!
Sio mimi mkuu ni story na chats zetu zipoHuyo jamaa yako ni wewe,
Usifikiri sisi humu JF ni watoto wenzako.
Daaaah kubabakeWanasema mwamini mama mzazi tuu!