Demu wangu kaenda chuo!

Demu wangu kaenda chuo!

hahaha huyo unaemuita wa uraiani unajuaje kama nae kapita chuo kwa mtindo huo huwezi kudumu na mchumba sababu hujiamini na huwaamini vijana basi tafuta bi kizee ambaye hana root za chuo hutakuwa na shaka
 
9. Classmate ama member wa discussion group!
10. Tax driver
11. Mhudumu wa stationary
12. Mtu wa canteen

13.VC . 14.Basra 13.Lectures 14.Assistant Lecturers. 15.Warden etc. Komaa tu ndugu km anakuheshimu atajitunza,na km hakuheshimu ataburuzwa.Mimi mwenyewe wangu anaingia october 13 mwaka huu.Hapa nilipo nimeamua kudharau tu,afanye,asifanye ni yeye tu.Mwisho wa siku itarudi home.
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

Kuna jamaa kaniambia ukitaka sehemu salama mkeo mpeleke Muslim University of Morogoro(MUM).Pale anasema kila mtu anajiheshimu.Pia hakuna mchezo pale,wanasoma sana na wanaslogani yao kuwa hakuna kuchukua degree pale bali unaenda kutafuta degree.Pia mfumo wa panel unawaweka bize na assignment za mara kwa mara.Anakushauri mpeleke pale MUM(Morogoro),anasema hutopata stress kamwe na utamkumbuka kwa ushauri wake.
 
Kaenda chuo kufanya nini kufanya usafi au kusalimia jamaa zake.
 
Kuna jamaa kaniambia ukitaka sehemu salama mkeo mpeleke Muslim University of Morogoro(MUM).Pale anasema kila mtu anajiheshimu.Pia hakuna mchezo pale,wanasoma sana na wanaslogani yao kuwa hakuna kuchukua degree pale bali unaenda kutafuta degree.Pia mfumo wa panel unawaweka bize na assignment za mara kwa mara.Anakushauri mpeleke pale MUM(Morogoro),anasema hutopata stress kamwe na utamkumbuka kwa ushauri wake.

Hahahaaa MUM hawataki mchezo..niligoma kuchukua form pale. Nilimwambia Mzee kabisaaa kule nitadisco......!
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

kichwa wa group discussion
 
so unataka abaki mbumbumbuuu kisa relatioship yako ww? mbona ww ulienda na umerud na hata yy pia mwache aend na atarud la msing ni kuweka makubaliano baina yenu! ni kwel wanawake wooote huwa wakienda vyuon ni lazma waaanzishe relationship mpya???
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

hahahaaaa unamtisha tu mwenzio...
 
tabia ya mtu haibadilishiki ikiwa kijani ni kijan no mo njano so kama ni mchepukaji kule ndio atapata mauzoefu ila kama anajijeshimu na mungu atamlinda
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

Ulivyokuwa chuo ulikuwa unawagegeda mademu wa wenzio uliona raha eeh?
Mwosha huoshwa, tulia wakuondolee u4m6
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

Ulivyokua chuoni unawagegeda mademu wa wenzio uliona raha eeh?
Mwosha huoshwa
Tulia wakuondolee u4m6
 
Kila mwanamke na akili nzake, kama kazoea kufunuliwa hta akiwa uraiani karibu yko, atafunuliwa tu, jenga uwaminifu kati yenu, mtafanikiwa!
 
13.VC . 14.Basra 13.Lectures 14.Assistant Lecturers. 15.Warden etc. Komaa tu ndugu km anakuheshimu atajitunza,na km hakuheshimu ataburuzwa.Mimi mwenyewe wangu anaingia october 13 mwaka huu.Hapa nilipo nimeamua kudharau tu,afanye,asifanye ni yeye tu.Mwisho wa siku itarudi home.

nimeipenda mkuu....
 
Back
Top Bottom