Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
9. Classmate ama member wa discussion group!
10. Tax driver
11. Mhudumu wa stationary
12. Mtu wa canteen
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
Kaenda chuo kufanya nini kufanya usafi au kusalimia jamaa zake.
Kuna jamaa kaniambia ukitaka sehemu salama mkeo mpeleke Muslim University of Morogoro(MUM).Pale anasema kila mtu anajiheshimu.Pia hakuna mchezo pale,wanasoma sana na wanaslogani yao kuwa hakuna kuchukua degree pale bali unaenda kutafuta degree.Pia mfumo wa panel unawaweka bize na assignment za mara kwa mara.Anakushauri mpeleke pale MUM(Morogoro),anasema hutopata stress kamwe na utamkumbuka kwa ushauri wake.
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......
Brothr hebu 2anzie hap kwanz, ameenda chuo gan?
IFW,CBE,ZOOM,UDSM,MAKUMIRA,EAGLE WING?😕
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......
Kwa hiyo na wewe pia kaka yetu anaibiwa,unatoa kwa wengine??Hata kama akiendelea kuwa wako jua kabisa kuna pipo znakutmbea huko chuo...!!!
concluded.
we ulikuwa unasoma course ganihapo ondoa shaka mana eduche ni wavumilivu sana....relax God is in control!!!
yaani mkuu nikiwa na binti nitakuwa nasikia vibaya sana!!!!Lol! Ama kweli achilia mbali kuwa na demu, kumbe kuwa na binti ni jambo la hatari hivi??
Kwa hiyo na wewe pia kaka yetu anaibiwa,unatoa kwa wengine??
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
13.VC . 14.Basra 13.Lectures 14.Assistant Lecturers. 15.Warden etc. Komaa tu ndugu km anakuheshimu atajitunza,na km hakuheshimu ataburuzwa.Mimi mwenyewe wangu anaingia october 13 mwaka huu.Hapa nilipo nimeamua kudharau tu,afanye,asifanye ni yeye tu.Mwisho wa siku itarudi home.