Demu wangu kakutwa na chats zangu na mumewe, ndiyo nikajua kaolewa!

Demu wangu kakutwa na chats zangu na mumewe, ndiyo nikajua kaolewa!

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Wakuu kwema?

Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake, akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe

Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake na Mimi Ni mgoni wake kupitia sms!

Nachomokaje kwenye hili! Naombeni ushauri wenu wakuu
 
Jamaa katumia njia ya kijeshi kkutia presha, huyo sio mumewe kama huamin na wew Tafuta namba Ngeni mwambie aachane na Mke wako(taja jina la huyo Mpenzi wako),

Wote nyie ni Wachapaji tu sema jamaa katumia mbinu ya kiitelijensia kidog tu ili akutoe Dimbani,

sema nini Fanya hivyo nlivyokuelekeza Alafu utaleta mrejesho hapa.
 
Wakati unamtongoza,kuna uzi ulianzisha humu?

Au unakuja kumsingizia kuwa alikutaka yeye.

Af,uanaume ni kukabiliana na vipengele kama hivyo si kuwalilia mademu. Umelikologa,kulinywa huwezi. Umetembea nae sana tu. Kwa lengo gani?

Basi mwambie jama hukujua,na hivyo mzigo unabeba, chenji(pesa alomnunua kwao),mpe
 
Wakuu kwema?

Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake..,akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe

Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake ,na Mimi Ni mgoni wake kupitia sms!

Nachomokaje kwenye hili! Naombeni ushauri wenu wakuu
Amehlo jamaa aliyekuto..mb..ea demu wako huyu hapa😂
 
Wakuu kwema?

Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu...

Tembea kimachale sana any mess, umeliwa kiboga!
 
Back
Top Bottom