Demu wangu kakutwa na chats zangu na mumewe, ndiyo nikajua kaolewa!

Demu wangu kakutwa na chats zangu na mumewe, ndiyo nikajua kaolewa!

Wakuu kwema?

Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake, akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe

Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake na Mimi Ni mgoni wake kupitia sms!

Nachomokaje kwenye hili! Naombeni ushauri wenu wakuu
Duu hili tukio limenikuta jpili ns jamaa kasema mke wake tuonane maana demy aliniambia hajaolewa
 
Jamaa katumia njia ya kijeshi kkutia presha, huyo sio mumewe kama huamin na wew Tafuta namba Ngeni mwambie aachane na Mke wako(taja jina la huyo Mpenzi wako),

Wote nyie ni Wachapaji tu sema jamaa katumia mbinu ya kiitelijensia kidog tu ili akutoe Dimbani,

sema nini Fanya hivyo nlivyokuelekeza Alafu utaleta mrejesho hapa.
Na mimi limenikuta wakati demu aliniambia hajaolewa
 
Back
Top Bottom