Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Wake za watu ni ving'ang'anizi mimi alibeba mpk mimba yngu na akasema nisitetereke nikushauri we endelea kumkamia vidole juu😂😂Wakuu kwema?
Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake....