bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
This is chai Jabba.Wakuu kwema?
Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo....
Utanyonywa MafiJamani😃🤣🤣
SawaUtanyonywa Mafi
Amehlo jamaa aliyekuto..mb..ea demu wako huyu hapa😂Wakuu kwema?
Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake..,akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe
Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake ,na Mimi Ni mgoni wake kupitia sms!
Nachomokaje kwenye hili! Naombeni ushauri wenu wakuu
Kuna msema unasema; demu wa Arusha ni jasiri kuliko dume la Dat ni kweli?Umepigiwa cm tu, na huna ujasiri wa kuchomoa msala? Wanaume wa Dar mna changamoto lukuki..
[emoji23][emoji23][emoji23]simu kidogo tu analia lia,ila akifatwa kazini ndio atajua mke wa mtu sumu.Umepigiwa cm tu, na huna ujasiri wa kuchomoa msala? Wanaume wa Dar mna changamoto lukuki..
Wakuu kwema?
Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu...