Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
-
- #221
mkuu niliporudishiwa chenji niliikunja kama mara 6 hivi nikaitumbukiza kwenye kamfuko kadogo ka jinsi(kale ka kuhifadhia mia mia)nilipoamka nilijisachi hadi kwenye soksihuu uzi nimeupenda hauchoshi hata kusoma jinsi mtoa mada anavyo lalamika na buku tano yako, ila unamdhalilisha mpenzi wako, aibe buku tano kweli, pengine umepoteza au umesahau ulipoweka halafu unamsingizia mpenzi wako eti kakuibia
mkuu,senti 2 ni kwako,kwangu ni kubwaUnashindwa kumuuliza huyo demu wako unakuja kutulalamikia senti mbili hapa,
ngumu sana mkuusi umuulize tu,au ............
hakuniomba,na huwa sisubiri aniombe,nampa tuUnajuaje kama aliomba akanyimwa?
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
Mkuu usimuonee aibu... mwambie akupe mkwanja wako. Buku 5 iende hivi hivi, aisee!!! Hapana arifu...
mkuu,senti 2 ni kwako,kwangu ni kubwa
mkuu niliporudishiwa chenji niliikunja kama mara 6 hivi nikaitumbukiza kwenye kamfuko kadogo ka jinsi(kale ka kuhifadhia mia mia)nilipoamka nilijisachi hadi kwenye soksi
ngumu sana mkuu
asante kwa ushauri mkuuMkuu usimuonee aibu... mwambie akupe mkwanja wako. Buku 5 iende hivi hivi, aisee!!! Hapana arifu...
hahahahaHahahaa haaaa
Mwenzio ndo analia hivyo
Miss u aiseeeee
hawa ndio wavulana wenye umri mkubwa. au sio OLESAIDIMU?
Hata kama alinyimwa nitabaki na msimamo wangu ule ule - udokozi siyo tabia nzuriUnajuaje kama aliomba akanyimwa?
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza./QUOTE] ndo unatuletea nyuzi gani mkuu