Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #221
mkuu niliporudishiwa chenji niliikunja kama mara 6 hivi nikaitumbukiza kwenye kamfuko kadogo ka jinsi(kale ka kuhifadhia mia mia)nilipoamka nilijisachi hadi kwenye soksihuu uzi nimeupenda hauchoshi hata kusoma jinsi mtoa mada anavyo lalamika na buku tano yako, ila unamdhalilisha mpenzi wako, aibe buku tano kweli, pengine umepoteza au umesahau ulipoweka halafu unamsingizia mpenzi wako eti kakuibia