Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #201
sasa anasababisha siku nikienda tena kwake nilale nimefumba jicho mojabora ungeidondosha kuliko dem wakokutumia?!! unalo ndg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa anasababisha siku nikienda tena kwake nilale nimefumba jicho mojabora ungeidondosha kuliko dem wakokutumia?!! unalo ndg
ahsante Majigopole sana
sasa nitakuwa na moyo tena wa kuhudumia hapo?
ID kama hizi ni kawaida yenuDume zima linaenda kulala kwa demu. huna kwako?
ID kama hizi ni kawaida yenu
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
na sijaviona hivo vitafunwaLabda kaichukua afu kaenda kununulia vitafunwa
nilale gesti ili iweje?kwani hiko chumba anachoishi si nalipa mimi?Mhh mjin mipango mkaka,hyo ndo ilikua hela ya kulipia chumba,kwani ungekodi guest ungelala buree!?
Huyo sio demu wako bali ni changudoa wako. Na hakuiba bali alijilipa ujira wake baada ya wewe kumtumia usiku mzima bila hata malipo. Sasa unataka vya bure tu mpaka lini wewe kongoni wa madoa doa?Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
Msubiri kidogo anavileta sasa hivi kuna foleni.na sijaviona hivo vitafunwa
sawa,ID yako kikwetu inamaanisha kuniWe jamaa ---- sana
Mbali ya yote udokozi siyo tabia nzuri kwa msichana/mvulana mwanamke/mwanaume. Lakini kwa jinsia ya kike akiwa mdokozi kwa kweli nashindwa kuelewa, omba upewe ewe mtoto wa kike