Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

Kwanini umeenda kwa demu wako na buku tano lakini?
ina maana asubuhi humpi hata ya kula kongoro?
ni kwamba,yule ni demu wangu,namhudumia kila kitu pale,hata nilipokuwa cpo nilim2mia hela na nilikuwa nina uhakika kwamba anayo maana ilikuwa nyingi!siendi tena kwake!
 
ni kwamba,yule ni demu wangu,namhudumia kila kitu pale,hata nilipokuwa cpo nilim2mia hela na nilikuwa nina uhakika kwamba anayo maana ilikuwa nyingi!siendi tena kwake!

Ha ha ha yani kweli demu umhudumie kila kitu afu aibe buku tano?
afu kama una uwezo wa kumhudumia kila kitu buku tano inaweza kuwa ishu hadi uitolee thread?
mmh kama kuna chai hapa....
 
Ungefikia guest ungelipa ngapi..........?
hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! Au panya wameiba?sijamuuliza.
 
La tano kubwa mkuu,mtaji wa siku kwenda kuitafutia hela nyenzake hyo.Wakati huo nilipokuwa chapombe walinikoma mabarmaid hadi sh 200 nilikuwa nawadai mpka wakawa wananionaga kauzu.
 
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.

jamani wakati mwingine muwe mnaficha dhiki na ujinga wenu. sasa wataka huku jamvini watu wafanyeje?
mnajaza server for nothing. kwani usiiweke hii ikawa status fb ili nako wakusaidie?
 
La tano kubwa mkuu,mtaji wa siku kwenda kuitafutia hela nyenzake hyo.Wakati huo nilipokuwa chapombe walinikoma mabarmaid hadi sh 200 nilikuwa nawadai mpka wakawa wananionaga kauzu.
mkuu hio pombe umeinywea O level ama vipi?..
 
umerudishiwa elf5 kwa taxi, umelala unaitafuta asubuhi, je usiku hamkula? je mlo wa usiku gharama sh ngapi? au unalelewa? je kulala ilikuwa bure?uyo mtu wako ulivoamka alikuambiaje?ukute hapakuwa na sabuni kaona uendelee na usingzi kachukua iyo pesa direct kwa mangi, sabuni ya unga ya kupima 2,500/= , ya kuoga, mswaki na soap dish special kwa mgeni 3,100/= badala ya ulivoamka kumpa deni la sh 100 unakuja kuleta ujinga uku? sijui vijana wa siku izi mnataka ndoa za rangi gani?

Ni aibu kudai iyo ela kwa mtu uliyelala naye wakati hata thamani ya perfume moja haifiki...ni aibu na dharau kwa mabinti zetu! kama hamuwezi kugharamia nyie kadili na wale mashuga mamy!
hongera binti yangu kwa kumliza mkoloni!!!!!!!
 
Mse...nge kweli ww buku tano unalia . Chukua hizo ukahonge mku...nduz!
 

Attachments

  • 1397291703380.jpg
    1397291703380.jpg
    64.6 KB · Views: 64
Kasema kuna dili la buku 2 anapiga maana hajala salio lote liliibiwa, halafu anasema eti anamgharimikia kila kitu!
Dili la buku 2 ha ha ha ha
huyu sijui darasa la ngapi, make hata form one wa sasa hawezi kuwa na dili la buku 2
 
Hapa ndio mahakama? Pumb..u ww! Umemt... A ucku mzima ulimwachia ngapi? Njeto {5000} ndo unalalamika du !we kweli k.!
 
Back
Top Bottom