Demu wangu kaniibia buku 5

well kuiba kama kuiba alikosea,

ila why afikie kuiba? ni tabia yake au mazingira yalimfanye aamue kuiba? kama ni tabia yake, basi thats bad, kama ni mazingira, dogo anatakiwa atimize wajibu wake..ni aibu umelala na mwanamke hadi asubuhi kisha unaondoka unamwacha bila hata 'asante', ,mbaya zaidi umelala kwake...sio tabia nzuri
 
mumeo kazi anayo!

bora iwe ivyo kuliko kushtakiana kwa hela ya vocha...next time uone aibu, sisi wanaume kamili uwa hatudai vihela vya kitoto kama mambo ya kitoto uliyoleta, iyo ela uwa tunacha tipu kwa wahudumu, alaf uje kwa mtu aliyekuhifadhi ale elf5 uanze kulialia, acha utoto! mmezoea kulelewa sasa ulimkuta kiboko yako...next time uwe unaleta mambo ya maana aya waachie watoto wa primary...bogus! there is no free lunch in this world! tena uyo demu alikuhurumia ilibidi amuite mme wake akule maana umelala kwenye kitanda na mali ya mme mwingine,unataka kutumia vya wengine bure...iyo mali ni mme mwingine na ulitaka ulale bure...
 
KWA JINSI YA MAELEZO YAKO UNAONEKANA NI BAHILI, NA ULIPANGA UMLALIE HUYO DADA WAWATU BURE, U.M.KOJOL.EEE BURE, ULALE KWAKE BURE, ULE VYAKE BURE. KAKUSTUKIA KAKUPIGA MAPEMAAA. SAFISANA. UKIWA MPENDA BURE MASKINI UPO NYUMA YAKO:israel:
 
Ungekuwa umeoa ndio ungejua wanavyoiba kwenye wallet. Wakati mwingine unapotezea tu yy anajifanya hujui. We acha tu .Book 5 ni cha mtoto
 
mr. Sex... Mjomba unawapa kchwa.si lazma kla mkikutanA Na KE bas ahsante yako iwee pesa hiyo Ni laana "ulipewa bure..."Dem mlishe,mcheze mech,mlishe usku sepa.akdai ahsante huyo Ni Malaya.huyo Jamaa aluchokosea huko safarin angerud Na vjizawad mambo yangeenda ktk mstari.
 
naona hujanielewa kabisa,jaribu kupoteza muda kidogo kusoma comments nilizowajibu wengine,halafu utafahamu hicho kitanda na godoro ni mali ya nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…