Ukitaka kuona vituko njoo usome JF. Buku 5. Tena unasema ilikuwa chenji ati ya Taxi wala sio Bodaboda. Ulienda na mikogo yoote hiyo baada ya 2 weeks hata andazi/mkate mkononi huna. Ukapata uwanja bure, magoli mfululizo kuonesha njaa yako ya 2 weeks. Halafu, ati asubuhi unasachi mifuko kuangalia akiba yako ya buku 5.
Nadhani mpaka unafika humu JF huenda ulirudishwa na Polisi kuwa huna ushahidi wowote. Na sisi walinzi wa usalama humu tunakuambia huna ushahidi bali ni UBAHILI wako unakusumbua. Hupati huruma hapa, nenda kamlipie hata kodi ya pango mwezi huu