Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

Buku 5 tu!? Aah wapi, si bora ubaki home unywee chai na chapati...!

Ngwair!
 
Duuuu huyo manzi ni fundi ......leo ndo umejua kuwa anakuibia ,lakn hata mapenzi anakuibia xema ww hijajua 222
 
Ukitaka kuona vituko njoo usome JF. Buku 5. Tena unasema ilikuwa chenji ati ya Taxi wala sio Bodaboda. Ulienda na mikogo yoote hiyo baada ya 2 weeks hata andazi/mkate mkononi huna. Ukapata uwanja bure, magoli mfululizo kuonesha njaa yako ya 2 weeks. Halafu, ati asubuhi unasachi mifuko kuangalia akiba yako ya buku 5.
Nadhani mpaka unafika humu JF huenda ulirudishwa na Polisi kuwa huna ushahidi wowote. Na sisi walinzi wa usalama humu tunakuambia huna ushahidi bali ni UBAHILI wako unakusumbua. Hupati huruma hapa, nenda kamlipie hata kodi ya pango mwezi huu
 
acha wenge..... atakuibiaje wakati demu wako... na wewe umetoka safari....obvious anajua uko vizuri ki-wallet... kachukua tu hiyo sio kukuibia....
 
dah? Unalalamika elf5?. Ungeibiwa lak5 c ungejinyonga?
 
Heri yako buku 5, jirani yangu alisafishwa vitu vyote vya nyumbani
 
Back
Top Bottom