Demu wangu kaniibia buku 5

dada kuwa na huruma basi!buku tano unaona ndogo?ndogo hiyoo?we hujui hapo ni asubuhi,mchana na jioni na fegi juu?au nije kwako??
 
Pole sana,mwenzako mmoja aliibiwa kiroba cha mkaa.
 
Acha ubahili, jenga tabia ya kutoa km ambavyo umekuwa ukipokea papuchii ya dem wako Nelson nely
 
Last edited by a moderator:
yani unaenda kwake na buku tano?
afu hiyo ni ya kuanzia mishe zako asubuhi unachekesha
kuna haja ya kuwapokea na mabusu mlangoni mikono ndani ya mifuko yenu kuwapiga sachi haki a mama

una roho mbaya kama nini we mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…