Demu wangu kaniibia buku 5

Loh kweli amekosa mme kweli elfu tano tu jamani

yani unaenda kwake na buku tano?
afu hiyo ni ya kuanzia mishe zako asubuhi unachekesha
kuna haja ya kuwapokea na mabusu mlangoni mikono ndani ya mifuko yenu kuwapiga sachi haki a mama

we nawe unatia aibu...unaibiwa buku tano unalia?? lol !! km umhongi unategemea ale nini, avae nini, msichana anahitaji urembo anunue na nini?

Usijitie aibu

Hiyo buku 5 ni hela ya pango uliyokwepa kwenda gest,ulifikiri umelala bure? Hakuna vya bure hapa duniani.

Ingawa two wrongs does not make a right (na yeye amekosea kuja kuanzisha uzi hapa) ila kama kweli amechukua bila kuomba au kutoa taarifa huo ni wizi (na wizi ni tabia haijalishi kiwango) inabidi ukiwa na shida unasema nimechukua pesa fulani sababu yule aliyechukuliwa anaweza kudhani kaibiwa sehemu nyingine kumbe ni udokozi wa mtu mwingine
 
Mkuu elfu 5 tu fikiria ungefika gesti house 20 zingekutoka. Hapo msosi bado10000 bado asbhi chai 5000. Papucha bei iko juu Dom 20000 sasa hapo vitu vyote hivo umepata bure.acha usen gerema
 
Mkuu elfu 5 tu fikiria ungefika gesti house 20 zingekutoka. Hapo msosi bado10000 bado asbhi chai 5000. Papucha bei iko juu Dom 20000 sasa hapo vitu vyote hivo umepata bure.acha usen gerema
asante mkuu,ila kumbuka siwez mpeleka gesti maana nimemlipia chumba na kila kitu,nimeamua kumuachia vyote
 
mkuu asante kwa kunielewa
 
Kwema aseeh nimempenda mwanao
ntampataje anaefanana na huyo

Hilo ni tunda kutoka kwa mtoto wa kaskazini...

Ni PM tu.. usijali nitakujulisha kila kitu.

NB;
Nina mpango wa kwenda kuanzisha uzi kule jf photo, ni mpambanishe na huyo wako tuone yupi ni mrembo, unaniruhusu?
 

 
Tatizo tumevamiwa na watoto wakiume, ukiangalia kwa makini unaweza sema kizazi cha wanaume kimekaribia kuisha, wengi waliopo ni watoto wa kiume. Maana kila siku wanalalamika visivyolalamikiwa jamani, inasikitisha au ndo kizazi cha bongo fleva au JK

yaani wamekuwa waogaaa wa maisha haswaaa, kulalama tu ndicho wanachokijua, siombei warembo wakutane na hizi type aisee, vichomi mnooo ba balaa tupuuu, mwanaume mbele ya kadamnasi unasema umeibiwa buku 5 na mrembo wako na hapo umelala kwake lazima utakuwa umekula vizuri na labda ukapata burudani ya kiutu uzima, upo hapa unamlalamikia mwanamke kama huyo kwa shs 5, pwehhh, wadogo zangu muwe makini na baadhi ya hivi viwanaume aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…